Hili la Godbless Lema ni la kuiga, kubeza au kuunga mkono?

Hili si la kuiga, kubeza wala kuunga mkono. Kwanza, kalifanya yeye tu. Pili, tunataka wafanye makubwa zaidi ya hili. Tatu, halina tija zaidi ya umaarufu wake mwenyewe kupanda. Nne, Mh Lema anahitaji elimu ya ku-manage makundi ya wafuasi wake. Sio wote wanaomfuata namna ile wana NIA NJEMA kwake.
 
Aliendelea na kusema kuwa “nitaenda jela kwa hiari yangu binafsi… wale mlionitishia kunipeleka jela sasa nimetangulia kwa hiari yangu na wale mliobaki msiogope jela endeleeni kupigania ukombozi utakaoleta usawa katika nchi yenu”. Kosa kubwa ambalo lilifanywa na watu wa mahakamani labda ni kukubali kutomwachilia kwa utambulisho wake mwenyewe (self-recognizance) na hivyo kumpa nafasi. Hivi kweli Mbunge wa Jamhuri ya Muungano anaweza kufungwa kwa kosa dhamana?

cha msingi ndio hicho kuna matope kibao kwenye kesi hii na itakuja baadae inaisha hivi hivi 2(mfano leo lema akijiuzulu ubunge kesi inafutwa hiyo)at the end of the day kuna watu hawataki kukubali kama arusha mjini ina mbunge wa upinzani.
 
Mkuu WildCard.

Asante umeeleweka kabisa lakini usishangae wakajitokeza wa kukubeza.

Hili si la kuiga, kubeza wala kuunga mkono. Kwanza, kalifanya yeye tu. Pili, tunataka wafanye makubwa zaidi ya hili. Tatu, halina tija zaidi ya umaarufu wake mwenyewe kupanda. Nne, Mh Lema anahitaji elimu ya ku-manage makundi ya wafuasi wake. Sio wote wanaomfuata namna ile wana NIA NJEMA kwake.
 
twende mbele turudi nyuma, huwezi ukapendekeza lema for presidency kama kweli unaitakia mema tanzania
 
MTM unataka kuchangamsha jamvi ubunge wenyewe ushamshinda siku nyingi.

twende mbele turudi nyuma, huwezi ukapendekeza lema for presidency kama kweli unaitakia mema tanzania
 
Mkuu usiruhusu emotions zioverwrite facts.
Im still scratching my head over this,..... there's gotta be a "movement" and I'm trying to figure out whats the "movement" about?
I mean... what is he fighting for? and where is the crowd of supporters?
Scratch your brain. Scratching your head will not produce answers. But by your own admission it seems you can neither think nor see. Have you never witnessed the crowds that gather whenever Lema appears in court?
 
twende mbele turudi nyuma, huwezi ukapendekeza lema for presidency kama kweli unaitakia mema tanzania
Mbona anafaa kamzidi mpaka Nelson Mandela, ushujaa, wewe ujaona?
 
Politically, he is practising in higher level comparing to others.
Shoud he wait for that level to be reached? No, I don't think so
Or should he continuing practising on higher level, and others will meet him there? Not, sure
Let him do what is good for him politically now!
Support you, Mh. Lema!
 
kwani mkuu kuna sehemu Lema kapendekezwa awe presidaa? nimeisoma hoja yote ya mwanakijiji sijaona hiyo sehemu, na kama kuna mtu kapendekeza hivyo basi huyo ni mwenda wazimu.

Join Date : 11th September 2010
Location : in the cave
Posts : 2,240

Rep Power : 26

Zumbemkuu tangu ujiunge JF 11 september 2010 hii ni post yako 2,240, niseme wazi hakuna post bora kuzidi hii.Nimekubonyezea kale kadude ka like.
 
Hakuna kitisho wala nini, kapewa masharti ya dhamana kama wanavyopewa wengine na yeye kakataa kasema mimi nakwenda jela, hiyo cause iko wapi? msitake kuwajaza watu yasiyokuwepo.

Kuna Wabunge waliokwenda jela kwa kukosa dhamana, na hii kapenda yeye mwenyewe kwenda kuwatembelea vijana wake huko.

Kuna kisa Dar Es Salaam huwa kina hadithiwa sana, sijui kama umewahi kukisikia, kuna mtu ambae kila inapomjia hamu ya kuwaona vijana wake waliopo jela huwa anafanya kila njia apelekwe jela, hupigana, hutukana na anapopelekwa mahakamani nae hukataa dhamana, ingawa ana uwezo wa kupatiwa dhamana. Hiki cha Lema hakina tofauti na hicho na msitake kuki "dramatize".

Hakuna zaidi, kataka mwenyewe kwenda huko na akae, atapoona kuwa bado hajakamilisha malengo yake akatae tena dhamana aendelee kukaa huko mpaka malengo yake yatapotimia.
Kwa hiyo unakubali kuwa kuna wafuasi wa Lema wako magerezani. Hiyo ni moja ya 'cause' za Lema. Kuhakikisha kuwa vijana wake, kama unavyowaita, hawaonewi kwa kubambikizwa kesi za uongo na kurundikwa magerezani. I like your denial mode though.
 
kwani mkuu kuna sehemu Lema kapendekezwa awe presidaa? nimeisoma hoja yote ya mwanakijiji sijaona hiyo sehemu, na kama kuna mtu kapendekeza hivyo basi huyo ni mwenda wazimu.
Hapo kwenye bold hayo maneno sio yanagu ni maneno ya Pro-CDM JF huyu huyu ndio alisema Lema zaidi ya Mandela...
 
Kwa hiyo unakubali kuwa kuna wafuasi wa Lema wako magerezani. Hiyo ni moja ya 'cause' za Lema. Kuhakikisha kuwa vijana wake, kama unavyowaita, hawaonewi kwa kubambikizwa kesi za uongo na kurundikwa magerezani. I like your denial mode though.
Ndio wapo wizi wa magari na majambazi sugu, ndege wafanana nao ndio wanaruka pamoja
 
Binafsi sina tatizo na uamuzi wa Lema hata kidogo ninachopinga ni kuwaingiza wananchi kwenye mateso yasiyowahusu.Kitendo cha wanazi wa CDM kulazimisha mgomo wa daladala ninakilaani kwa nguvu zote.
Wewe nani kakupa mandate ya kuwasemea wana-Arusha?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom