Haina mshiko hata mkiifananisha na Martin Luther King na Mandela, they had a "cause".
Sasa Lema ana "cause" ipi? ni kesi ambayo haifanani kabisa na hizo nyingine. Wajinga ndio waliwao.
Hata wao si waliambiwa haina mshiko and that they did not have a cause? Kwamba it was legally right to segragate blacks and whites?
Binafsi nilitarajia kuona viongozi wengine wa CDM wanafunga safari huko huko na kufanya sit ins as a politica protest.. lakini well..
Kuna kesi ya blacks na whites Arusha au kuna kesi ya kura?
kwani kura sio "cause"? "cause" kwako ina maana gani?
Mkuu usiruhusu emotions zioverwrite facts.kwani kura sio "cause"? "cause" kwako ina maana gani?
Haina mshiko hata mkiifananisha na Martin Luther King na Mandela, they had a "cause".
Sasa Lema ana "cause" ipi? ni kesi ambayo haifanani kabisa na hizo nyingine. Wajinga ndio waliwao.
Ukisoma post ya MMKJJ utagundua kuwa kuna cause madhubuti kabisa ambayo Lema anaisimamia. Hii ni cause ya kuondoa dhana ya kuwa watawala wetu wanaweza kuwaswaga wananchi kwa kutumia vitisho vya kuwafunga jela.
Actually kwa uzito wake hii cause haina tofauti na ile ya Mandela.
Tatizo hapa ni demonstration....Ukisoma post ya MMKJJ utagundua kuwa kuna cause madhubuti kabisa ambayo Lema anaisimamia. Hii ni cause ya kuondoa dhana ya kuwa watawala wetu wanaweza kuwaswaga wananchi kwa kutumia vitisho vya kuwafunga jela.
Swali ni kuiga, kubeza au kuunga mkono?
Jibu: Ni la Kuiga, igeni wote mkakae ndani. Mnaleta kero tu mitaani. Mnangoja nini hamuigi?
Haina mshiko hata mkiifananisha na Martin Luther King na Mandela, they had a "cause".
Sasa Lema ana "cause" ipi? ni kesi ambayo haifanani kabisa na hizo nyingine. Wajinga ndio waliwao.
Na. M. M. Mwanakijiji
Mwl. Julius K. Nyerere alikoswakoswa kwenda jela mwaka 1958 baada ya kushtakiwa na serikali ya mkoloni kuwa alitoa kauli za kashfa kwa watendaji mbalimbali wa serikali. Alikutwa na hatia na alitakiwa kufungwa jela au kulipa faini. Kwa vile walikuwa wanaelekea kwenye uchaguzi wa kwanza ambapo TANU ilikuwa inaelekea kushinda mjadala mkubwa ulikuwa ni je alipe faini au akubali kwenda jela? Yeye mwenyewe alikuwa anataka kwenda jela kama walivyokuwa wanaenda viongozi wengine wa Afrika. Lakini waasisi wenzake walimtaka akubali kulipa faini ili TANU isipoteze nafasi yake kwenye uchaguzi ule. Nyerere mwenyewe alisema kwenda jela kungekuwa ni kama kuhitimu katika siasa za harakati za uhuru.
Jana huko Arusha Mbunge wa Arusha Mjini Bw. Godbless Lema alikubali kufanya kinyume chake. Alikuwa na uchaguzi wa kupewa dhamana katika kesi inayomhusu na kwenda zake nje na kufurahia uhuru au kwenda jela. Katika kitu ambacho alikipanga mapema Lema aliamua kwenda jela na kukataa kuwekewa dhamana.