Hili La Dr. Kafumu mbunge wa Igunga linanitatiza!

Hivi nyie viwavi wa cdm mambo ya ccm yanawahusu nini,jadilini ni jinsi gani nchi yetu changa inaweza kukabili chamgamoto zilizopo na si kutoa tu mada zisizokuwa na mshiko shame on you wanazi wote wa cdm

Mbona majukwaa mengi. Hama
 
wakati mnaambia mchague mnaemjua mkakubali kushikwa masikio poleni ndio muanze kujua sasa mnatakiwa kufanya nini 2015..
watendee haki wana Igunga. Uchaguzi ulikuwa na irregularities nyingi kiasi kuwa hakuna uhakika kuwa mbunge huyu ni chaguo lao.
 
Hivi nyie viwavi wa cdm mambo ya ccm yanawahusu nini,jadilini ni jinsi gani nchi yetu changa inaweza kukabili chamgamoto zilizopo na si kutoa tu mada zisizokuwa na mshiko shame on you wanazi wote wa cdm
hivi hii nchi imewashinda kuikuza? Mpaka leo ni changa. Basi usiite changa sema imedumaa. Tutajadili vipi nchi wakati wanasiasa mnatumia mabilioni ya shilingi kushinda chaguzi badala ya kuwajengea wananchi huduma bora? Tutajadili vipi kama wanasiasa mnajali matumbo yenu kuliko sisi wananchi? Tutajadili vipi ilihali mnatetea vyama vyenu kuliko maslahi ya nchi?
Hata mimi japo si mwanachama, kada wala shabiki wa chama cha siasa ninasema wazi CCM so far mmefeli. Kaeni kando mjitafakari mrudi ulingoni!
 
wakati mnaambia mchague mnaemjua mkakubali kushikwa masikio poleni ndio muanze kujua sasa mnatakiwa kufanya nini 2015..

tume huru ya uchaguzi ndio tunayoihitaji ili tuwaondoe hawa ccm kwa sababu kimsingi mtu kama dk kafumu hawezi kuibuka mshindi halafu akaenda kutoa shukran huko alipozaliwa halafu wapiga kura wako wakarusha mawe kwenye msafara wako!!!karushiwa mawe kijijini kwake alipo zaliwa na ndio maana akashindwa hata kutoa shukrani hata pale igunga mjini!hii inaashiria kuwa ushindi wake ni batili na hakubaliki na majority ya wana igunga!dk kafumu hakubaliki hata asilimia moja jimbon kwake na ndio maana anathubutu kuja kutoa shukrani manzese
 
Confirmation utaipata pale Mh. Kafumu atakapoapishwa na huku akipigiwa makofi mengi ya nderemo na vifijo na wale wote wanaoshabikia udhalimu huu uliopitiliza wa hadi kutoa roho za raia wema mle mjengoni Dodoma ktk kikao kijacho cha Bunge.
And once confirmed to be true then every Tanzanian with good wish for our present & next generation will definately deny that TANZANIA is no longer a pieceful country under the existing regime.

Gooday day all!

Ningekuwa Kafumu ningejiuzulu mara moja, kwa sababu nisingeweza kuchukua cheo kilichopatikana baada ya damu kumwagika tena kinyama kiasi kile.
 
Mheshimiwa Kafumu alitoa Hotuba yake ya kwanza Jijini Dar. Hii ni baada ya kutangazwa Mbunge wa Igunga. Pia alikubali maandamano ya kwanza kumpongeza kufanyika Dar si Igunga alikokuita nyumbani wakti wa kampeni. Je, kawatendea haki wakazi wa Igunga? ccm wanatueleza nini juu ya hii dhihaka?

Wala usishangae kaka, nasikia hata shangwe za igunga zilifanyika machokoloni na sio Igunga mjini, CCM wamedhihirisha unyama wao.
 
Hivi nyie viwavi wa cdm mambo ya ccm yanawahusu nini,jadilini ni jinsi gani nchi yetu changa inaweza kukabili chamgamoto zilizopo na si kutoa tu mada zisizokuwa na mshiko shame on you wanazi wote wa cdm

Stupid.
 
Duh!!!. Mkuu hivi hata mzee wa miaka 50 (Tanganyika), ilimradi anasherehekea birthday yake anakuwa bado mchanga. Ndiyo maana hatuna maendeleo ya maana kwa sababu ya kuwa na mawazo kwamba eti sisi bado ni taifa changa!!!?????
 
Kwa kadiri ya kusikia profile ya Kafumu..si mtu msafi anapopewa wadhifa.Wanaigunga itawabidi wajiju!Nafikiri hata Rostam alishindwa namna.Nina imani alitaka upinzani uchukue jimbo lile!
 
Hivi nyie viwavi wa cdm mambo ya ccm yanawahusu nini,jadilini ni jinsi gani nchi yetu changa inaweza kukabili chamgamoto zilizopo na si kutoa tu mada zisizokuwa na mshiko shame on you wanazi wote wa cdm

Ni damu za innocent blood zinakupa mawenge au kitu gani, unashindwaje kuona kuwa CCM is directly linked to the affairs of this country. Tutazungumziaje changamoto za nchi hii bila kuitaja CCM.
 
Ndg!
Yule ni mbunge wa wana igunga wote si ccm pekee!!! usilete longolongo yako ya ki-ccm hapa!!
hell with you!!

Hivi nyie viwavi wa cdm mambo ya ccm yanawahusu nini,jadilini ni jinsi gani nchi yetu changa inaweza kukabili chamgamoto zilizopo na si kutoa tu mada zisizokuwa na mshiko shame on you wanazi wote wa cdm
 
Mheshimiwa Kafumu alitoa Hotuba yake ya kwanza Jijini Dar. Hii ni baada ya kutangazwa Mbunge wa Igunga. Pia alikubali maandamano ya kwanza kumpongeza kufanyika Dar si Igunga alikokuita nyumbani wakti wa kampeni. Je, kawatendea haki wakazi wa Igunga? ccm wanatueleza nini juu ya hii dhihaka?
Slaa alishukuru watu kwenye facebook, wanaigunga wote wana internet?
 
Slaa alishukuru watu kwenye facebook, wanaigunga wote wana internet?[/QUOTE

kwani angeenda igunga na kuitisha mkutano wote wangehudhuria..?? Ametoa taarifa kwa atakayesoma amweleze na mwenzake..acha kukurupuka kijana!
 
Hivi nyie viwavi wa cdm mambo ya ccm yanawahusu nini,jadilini ni jinsi gani nchi yetu changa inaweza kukabili chamgamoto zilizopo na si kutoa tu mada zisizokuwa na mshiko shame on you wanazi wote wa cdm
Uchafu wa CCM kama chama tawala unatuathiri wote! Ndugu yangu ni wewe tu usiyeona kuwa hizi ni changamoto? Kwa ujumla mambo yanayoongelewa hapa ni juu ya aina mbalimbali za utapeli unaofanywa na chama tawala kwa wananchi wake! Hiyo ni changamoto iliyo na mapana na marefu yake! Iwapo unayo nyingine tunaomba utudokeze na kwa pamoja tutaijadili pia! Hebu funguka akili mtoto wa mama! Acha hasira! Kwa pamoja tutafika!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom