Hili kwenye mahusiano linakupa picha gani?

Sio kwa wapenzi tuu bali kwa watu wote in general. Kama unaongea na mtu kwenye simu nafikiri ni vizuri ukamaliza nae kwanza badala ya ku-hold hold kila wakati ili uongee na mtu mwingine. Kama unaongea na watoto wadogo sawa inaweza eleweka lakini na watu wazima ni bora useme tuu utampigia au akupigie baada ya muda fulani. It is all about manners. Mara nyingi watu hawa ndio unawakuta wanaongea kwenye simu huku waki-drive.
 
Sio kwa wapenzi tuu bali kwa watu wote in general. Kama unaongea na mtu kwenye simu nafikiri ni vizuri ukamaliza nae kwanza badala ya ku-hold hold kila wakati ili uongee na mtu mwingine. Kama unaongea na watoto wadogo sawa inaweza eleweka lakini na watu wazima ni bora aseme tuu umpigie au akupigie baadae. It is all about manners. Mara nyingi watu hawa ndio unaowakuta wanaongea kwenye simu huku waki-drive.

EMT hapo sasa unatusema wengine bana
Japo huwa siuzi chai ila kwa hapo umetugussa mkuu
 
  • Thanks
Reactions: EMT
EMT hapo sasa unatusema wengine bana
Japo huwa siuzi chai ila kwa hapo umetugussa mkuu

But ukweli ndio Mkuu unless huyu jamaa anakula kwako

299519_259464420744790_100000437012547_949769_1050810_n.jpg

Au unataka haya yakukute.

TRAFIKI+NAINASUA+PKPK+PIX+NO+1.JPG
 
EMT hayo siyataki kabisa yanikute na wala siyataki kabisa
Ila kwenye kuongea na simu wakati niko kwenye driving hiyo ipo sana mkuu
 
kama unataka upige simu upewe full attention piga simu kuanzia saa sita usiku hadi saa kumi.

La unapopiga simu mchana jua mtu yupo kwenhe mihangaiko, uvumilie. Aache kusaka pesa kwa ajili ya simu? Au asipokee simu?
 
EMT hayo siyataki kabisa yanikute na wala siyataki kabisa
Ila kwenye kuongea na simu wakati niko kwenye driving hiyo ipo sana mkuu

Kuwa makini then. Kuendesha huku ukiwa unaongea kwenye simu uliyoishikilia mkononi ni hatari kwako wewe na pia kwa watumiaji wengine wa barabara. Mkuu huwa una access JF kucheki PMs pia wakati unaendesha? :)
 
Sio kwa wapenzi tuu bali kwa watu wote in general. Kama unaongea na mtu kwenye simu nafikiri ni vizuri ukamaliza nae kwanza badala ya ku-hold hold kila wakati ili uongee na mtu mwingine. Kama unaongea na watoto wadogo sawa inaweza eleweka lakini na watu wazima ni bora useme tuu utampigia au akupigie baada ya muda fulani. It is all about manners. Mara nyingi watu hawa ndio unawakuta wanaongea kwenye simu huku waki-drive.

Genuinely sipendi kuongea na mtu huku ana drive.... I can not stand it kabisaa....
 
Simple Kama inakubore unakata cm unaendelea na mambo yako Kama anakujali atakupigia! Usipende kukomplicate vitu vidogo!
 
Duh, pole mkuu, ukweli leo nimejifunza kitu, niwe mkweli hata mimi nimiongoni mwa watu kama hao

Yani nikipigiwa sim ninatabia ya ku msubirisha mtu kwenye line then naongea na mwingine hee kumbe inaudhi eeh,
Ila mimi hua si dharau ila najikuta nataka niwaridhishe wote ninao ongea nao.
 
kama unataka upige simu upewe full attention piga simu kuanzia saa sita usiku hadi saa kumi.

La unapopiga simu mchana jua mtu yupo kwenhe mihangaiko, uvumilie. Aache kusaka pesa kwa ajili ya simu? Au asipokee simu?

Au unakuta mtu anakupigia sim na anajua uko officini, mfnyakazi mwenzako anakuuliza issue ya kikazi kweli usimjibu, mmh hapana inategemea na uzito wa maongezi bwana.
 
Kama ataanza kuongea umbea ama uzushi mi nipo hewani, nakata cm, kuna wakati mwingie anatoa maagizo we mwenyewe ingekuwa wewe ungefanya, mf kumkubalia mtu achukue document kwa kumwambia' ndo hizo chukua' thn tunaendelea sion km ni ishu sn
 
Heshima zenu wana MMU,
Mi kuna jambo huwa linanipa shida sana, Hivi inapotokea unampigia simu mpenzi/mchumba/mume/mke au mtu yeyote ambae unamuheshimu ghafla katikati ya mazungumzo yenu unashangaa anakuwa anaongea na watu wengine wakati bado upo online, alaf anarud kuendelea na mazungumzo yenu.

Hii inatokea wakati mpo kwenye mazungumzo Mara ghafla unasikia anatoa maelezo au anamwagiza kitu fulan mtu mwingine alaf baadae ndo anarudi kwako kuendelea na mazungumzo.

Unashangaa tena baada ya dakika chache anakuacha tena na kuendelea na mazungumzo mengine kisha anarud, we utasikia tu eeh tuendelee.

Hii hali inapotokea mara kwa mara kwenye mazungumzo yenu inamaanisha nini?
mimi huwa natafsiri kuwa huyo mtu ananidharau ama ninachoongea nae kwake ni pumba.

wana jamvi hii mnaichukuliaje?

Mtu mzima akitobowa ujuwe yamempata!
Huwa nafanyiwa na mama watoto wangu na kuumiza zaidi tuko mbali mbali kwani niko nje ya nchi!
 
Back
Top Bottom