Hili kweli ni JWTZ au jeshi la Mzee...........................

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
02_11_mtmwxa.jpg
Baadhi wa majeruhi wa kipigo cha askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ), Gongo la Mboto jijini Dar es Salaan wakionesha kwa waandishi wa habari sehemu za majeraha waliyoyapata kutokana na kipigo hicho. (Picha na Fadhili Akida)
 
02_11_mtmwxa.jpg
baadhi wa majeruhi wa kipigo cha askari wa jeshi la ulinzi la wananchi (jwtz), gongo la mboto jijini dar es salaan wakionesha kwa waandishi wa habari sehemu za majeraha waliyoyapata kutokana na kipigo hicho. (picha na fadhili akida)
this is an ageing problem-kila siku haya matukio yanajirudia lakina serikali inayakalia kimya-sijui kwa nini-
hivi hawaoni majeshi ya nchi nyingine yanavyofanya ushirikiano mzuri na wananchi wake-
 
Kwa stahili hii tusishangae kusikia mtu kawekewa sumu kwenye kinywaji chake..
Si wanajua sana kupiga watu na wakati huo huo wanajichanganya uraiani kunywa pombe Bana?:spider:
 
Rutashubanyuma umeliita jeshi la ulinzi wa wananchi??? hahaaaa! jina lake linachekesha.
Lina walinda wananchi gani dhidi ya nani.

Hili ni jeshi la wenye nchi sio wananchi.
 
Jamani hii imetokea lini tena....? Ama kweli twafa sasa...Hawa wanajeshi waelekea kuwa maadui wa watu.... Libya... risasi mtindo mmoja.. Bongo mabomu...na kipigo tena? Inanitisha
 
02_11_mtmwxa.jpg
Baadhi wa majeruhi wa kipigo cha askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ), Gongo la Mboto jijini Dar es Salaan wakionesha kwa waandishi wa habari sehemu za majeraha waliyoyapata kutokana na kipigo hicho. (Picha na Fadhili Akida)
Kweli wazee wetu waliona mbali ndo mana wakasema, "Uishangaa ya LIBYA utayaona ya-TZ"

02_11_mtmwxa.jpg
Baadhi wa majeruhi wa kipigo cha askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ), Gongo la Mboto jijini Dar es Salaan wakionesha kwa waandishi wa habari sehemu za majeraha waliyoyapata kutokana na kipigo hicho. (Picha na Fadhili Akida)

Hawa si ndiyo walewale mtu akisakiziwa mwizi tu, watamfukuza wampige mawe, tofali, ngumi bila huruma hadi wamuue, lakini wakija wanajeshi wawili wasio na silaha wanakubali kubondwa bila sababu hadi ngeu na manundu yanawatanda. Halafu kesho yake haoo utawaona kwenye vyombo vya habari wakilalamika. Pambaaf kabisa!
 
Aisee, Nimecheka sana jinsi ulivyowaelezea hawa jamaa. Halafu naangalia sura zao naona kabisa walishawahi kubonda na kuua vibaka, ila kwa wajeshi wakanywea, lol.
 
wanalala bure, wanavaa bure, wanakunywa beer kwa buku, wanakula bure wanakunya bure, hawanakazi yoyote wanaofanya, tz ilitakiwa iwe na askari 2500 tu wanatosha sana
 
Nikujitoa muanga tu tutateswa mpaka lini wazeeeeee!! we have to say its enough alafu tunaenda front.
 
wanalala bure, wanavaa bure, wanakunywa beer kwa buku, wanakula bure wanakunya bure, hawanakazi yoyote wanaofanya, tz ilitakiwa iwe na askari 2500 tu wanatosha sana

Kiongozi nimeipenda sana hii Comment yako, ww unafaa kuwa Amiri Jeshi Mkuu wa Jeshi lennye Strength ya hiyo figure. Nitakupa kura yangu nikipata majibu ya IQ yako. :A S-confused1:
 
Back
Top Bottom