Hili Jembe Jamani!

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Kwanza nawashukuru sana wapya, cousins, madada, wakaka kwa mchango wenu uliotukuka jana! Lakini inaonyesha huyu rafiki yangu jembe lake kwa kipindi kile (>10years) lililinatumika katika kilimo cha nyanda za juu pekee ( a.k.a kuongea na mic) na idara zingine(mikono) kutumika katika kilimo cha nyanda za chini (a.k.a fingering) ili kuleta haki sawa kwa wote katika shughuli nzima ya kilimo.

Hivi inawezekana jembe kupungua kwa kutokulima katika udongo laini wenye tifutifu nzuri ya kustawisha mazao bora unaopatikana nyanda za chini?

Mhhhhhh
 
Bado, fafanua vizuri!nyanda za chini zipi?kule makondeni au kwenye tambarare?
 
we nawe em fanya majaribio ndo ulete hoja ikiwa na majibu sahihi
 
huyo mtu alikuwa na matatizo gani mpk jembe lake likae muda wote huo bila kulima udongo laini wenye chem chem na rutuba na unaoweza kutoa mazao mazuri?

na kama alitumia sana jembe la mkono (kilimo kwanza) hatakuwa kesha athirika kisaikolojia akikutana na udongo laini akipiga jembe moja tu kwenye udongo jembe linalala
 
Si kwamba jembe linaweza kuwa lina lima hata visiki maana litakuwa linacompasate ilichokosa?
 
Kwanza nawashukuru sana wapya, cousins, madada, wakaka kwa mchango wenu uliotukuka jana! Lakini inaonyesha huyu rafiki yangu jembe lake kwa kipindi kile (>10years) lililinatumika katika kilimo cha nyanda za juu pekee ( a.k.a kuongea na mic) na idara zingine(mikono) kutumika katika kilimo cha nyanda za chini (a.k.a fingering) ili kuleta haki sawa kwa wote katika shughuli nzima ya kilimo.

Hivi inawezekana jembe kupungua kwa kutokulima katika udongo laini wenye tifutifu nzuri ya kustawisha mazao bora unaopatikana nyanda za chini?

Mhhhhhh

Hili swali ingekuwa vizuri kama kuna padre humu autuelezee maana wao asilimia kubwa lina apply na asilimia nyingine wao huwa wanatumia majembe kutifua mirefereji ya samdi.... kwa wanaotifua mifereji ya samadi hawana cha kutuambia ila wale wanaofuga majembe ndio wenye kutujuza...
 
duh! hawa si hawatakiwi kabisa kulima mkuu?
 
kwanza nawashukuru sana wapya, cousins, madada, wakaka kwa mchango wenu uliotukuka jana! Lakini inaonyesha huyu rafiki yangu jembe lake kwa kipindi kile (>10years) lililinatumika katika kilimo cha nyanda za juu pekee ( a.k.a kuongea na mic) na idara zingine(mikono) kutumika katika kilimo cha nyanda za chini (a.k.a fingering) ili kuleta haki sawa kwa wote katika shughuli nzima ya kilimo.

Hivi inawezekana jembe kupungua kwa kutokulima katika udongo laini wenye tifutifu nzuri ya kustawisha mazao bora unaopatikana nyanda za chini?

Mhhhhhh

jembe made in china
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom