Hili Gazeti la Uhuru na Habari leo pia ni janga la taifa

Mtu ambaye yuko serious hawezi kusoma magazeti haya.
Hujui kwamba magamba wamechanganyikiwa? wako tayari kwa lolote wakidhani wanaweza kusimamisha moto wa M4C.
 
interesting huwa wanajiandika uongo na kulinunua wao wenyewe kwa hasara ili kuchafua vyama vingine
mda sio mrefu litafilisika, sijawahi lisoma tangu mwaka 2000.
 
mmelisahau na gazeti la HOJA last week nililinunua kwa makosa nilichokikuta humo ndani!! nililichana na kulitia moto kabla cjamaliza kulisoma
 
Office zake zipo wapi? tufanye maandamano mpaka katika office zake na ikiwezekana tuzichome moto

Unawatafuta ugomvi policcm, hivi sasa wana machungu kumburuza mwenzao mahakamani kule Iringa, kutokana na mauaji ya Mwangosi, kwa hiyo Intelejensia yao inaweza kuwaambia upo wapi na unafanya nini, na wakifika hapo yale makamera yaliyowaumbua kule Nyololo, watahakikisha hayapo! KAZI KWAKO!
 
uhuru ni gazeti ambalo sijawahi liona kuanzia mwaka 1999. huwezi amini. sijui huwa wanasoma watanzania gani

Unategemea nini kwenye gazeti la Chama cha Mauaji? Gazeti lenyewe kabla halijatoka lazima Mhariri awapelekee kina Nepi Naye na Mchumba Mwigulu ili waone kama kuna habari za kuichafua CHADEMA ndipo liruhusiwe kutoka!
 
Wana uhakika na mkate wao wa kila siku so kuuza gazetinkwao sio deal bse ofisi zote za serikali ni wateja wao
Whether habari iko fyongo au lah gazeti zitapelekwa maofisini tuu
 
Pole sana na kushangaa gazeti la UHURU na WAHARIRI WAKE, ulitegemea gazeti hilo lisifie? au unadhani mhariri amesomea wapi, amesomea katika vyuo hivihivi walivyo somea wengine tatizo itakulaje akiandika ukweli? nikuwa akiandika ukweli kuhusu chama chochote atafukuzwa kazi. kwahiyo gazeti hilo ni kwaajili ya ccm, huku hata habari mbaya watasema ni nzuri. Wahariri wa UHURU huandika habari hizi huku wamekunja uso wakijua sio za kweli, lakini watafanyaje ili bosi wao afurahi/
 
watakuwa na magazeti mengi sana ambayo kauli moja tuu ya CDM inawarudisha kusajili gazeti lingine.Kwa kila gazeti wanahitaji kujenga jina upya.
 
Hivi inakuwaje wanaandika kitu ambacho hakipo na hata nashangaa wanapata wapi hizi habari za uongo ati Chadema vurugu tupu Mwanza ati Wenje kibaraka,Mashumbushi agoma na diwani atimkia CCm duuh hii kali hivi hawa jamaa walisomea wapi hii kazi ya uandishi

Hivi ile katuni yao ya KINGO bado ipo? Naipenda sana ile kitu, nilikuwa nanunua lile gazeti kwa sababu ya hiyo katuni.
 
Issa Michuzi, Mzalendo, Uhuru, Daily na Sunday news ni vitu vya chama si Tanzania. Hivyo usitegemee kusoma habari za Michuzi ama hayo magazeti ukakuta habari nzuri kuhusu vyama vingine. Juzi juzi hapa wakati waandishi wa habari wana andamana pale Jangwani mlimuona Michuzi, ama aliandika chochote juu ya wenzake? Magamba lazima yabanduliwe kunako 2012.
 
mmelisahau na gazeti la HOJA last week nililinunua kwa makosa nilichokikuta humo ndani!! nililichana na kulitia moto kabla cjamaliza kulisoma

haya magazeti si ndio mkulu aliwahi kusema siku hizi Tanzani kuna viwanda vya kuzalisha uwongo? maana hivyo viwanda hakuvitaja, Nadhani haya magazeti ni moja ya hivi viwanda
 
Wewe pia ni janga la taifa.....utasomaje uchafu ule? Magazeti yale nikwa wale wanaohitaji tumaini coz kiama chao chakaribia..
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom