Hili Gazeti la Uhuru na Habari leo pia ni janga la taifa

Mboko

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
1,095
293
Hivi inakuwaje wanaandika kitu ambacho hakipo na hata nashangaa wanapata wapi hizi habari za uongo ati Chadema vurugu tupu Mwanza ati Wenje kibaraka,Mashumbushi agoma na diwani atimkia CCm duuh hii kali hivi hawa jamaa walisomea wapi hii kazi ya uandishi
 
Uhuru la SSM na Habari leo la serikali ya SSM.
 
AAa kusema kweli haya magazeti huwaga siyasomi sema leo nimeona vichwa vya habari tu kwenye Mjengwa Blog na sivinginevyo i hate the news paper you cant beleave.N haitatoke ati nafungua ushuzi huu wa haya magazeti never and ever
 
Hivi inakuwaje wanaandika kitu ambacho hakipo na hata nashangaa wanapata wapi hizi habari za uongo ati Chadema vurugu tupu Mwanza ati Wenje kibaraka,Mashumbushi agoma na diwani atimkia CCm duuh hii kali hivi hawa jamaa walisomea wapi hii kazi ya uandishi
Mkuu hulazimishwi kuyasoma kama notes za mitihani.
Soma yale uyapendayo.
 
Hivi inakuwaje wanaandika kitu ambacho hakipo na hata nashangaa wanapata wapi hizi habari za uongo ati Chadema vurugu tupu Mwanza ati Wenje kibaraka,Mashumbushi agoma na diwani atimkia CCm duuh hii kali hivi hawa jamaa walisomea wapi hii kazi ya uandishi
Mbona umesahau TBC!
 
Nafikiri wateja wao ndio wanamatatizo wanaonunua magazeti hayo na kuyasoma?

Wateja? hapa mwanza tunasambaziwa na inalipa URT government. ofisi ya mkuu wa mkoa copy 20, mkuu wa wilaya copy 10. ila kila siku yanabaki hapo mezani. magazeti mengine huyapati ila haya huwa yanaondolewa na mfagizi.
rgds,
 
Hivi inakuwaje wanaandika kitu ambacho hakipo na hata nashangaa wanapata wapi hizi habari za uongo ati Chadema vurugu tupu Mwanza ati Wenje kibaraka,Mashumbushi agoma na diwani atimkia CCm duuh hii kali hivi hawa jamaa walisomea wapi hii kazi ya uandishi

Duh wanamageuzi hawana muda wa kusoma this nonsense,hili ni gazeti la propaganda za CCM.means wanaadika yale wanayoagizwa kutoka juu na nahisi huenda mhariri akawa ni NAPE mwenyewe.
 
Back
Top Bottom