NICE LAMECK
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 213
- 28
Sikufurahia hicho kitendo cha kinafiki wajipange sana kuangalia mara kwa mara itifaki tofauti na hapo watakuwa wanaumbuka. FIFO
spika alionekana sinza kwa kanumba. Kwa mahundi hakwenda!
kumbe jf inaweza liongoza bunge, maana hili swala limelalamikiwa sana humu. Inaelekea serikali ipo makini na yanayojadiliwa jf kiasi kwamba inaweza kujaribu kujirekebisha kwa kukosolewa toka jf.
Sikufurahia hicho kitendo cha kinafiki wajipange sana kuangalia mara kwa mara itifaki tofauti na hapo watakuwa wanaumbuka. FIFO
Hao wastaafu nani awalilie wamekula nchi hadi wameimaliza wewe unalala njaa uwalilie huo ni uzumbukuku.