Hili biti La Sebene..!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,031
21,499
Jamni kuna hili sebene siku hizi hawaimbi ila ni vyombo tu Kwa kweli linanikosha sana ila sijajua linaitwaje yani hua nalisikia tu. Kwa wataalam wa masebene watakua wameshaelewa nazungumzia nini, naomba mnifahamishe linaitwaje nipate kulidownload.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom