Hili bango limenifanya niwaze sana, una maoni gani?

Nimekuwa nikiposti kwa lugha ya Kiingereza lakini hujawahi kunikosoa isipokuwa hiki kiherehere chako cha kujifanya unajuwa KKiswahili na hali ni Wakuja.
Ha ha haaa nimeamini kuwa wewe ndiye uliyeandika bango eti ulikuwa ukipost kingereza ha ha haa sasa kimeenda wapi au mwenye dictionary kaichukua usifurahishe walionuna kwa ugumu wa maisha.
 
Mwalimu anafundisha au Anasomesha? kitendawili hiki tena? nenda tuition ya Kiswahili mtu wangu labda utajanjamka

Wewe mbona punguani wewe hivyo unataka kushindana Kiswahili na mimi mwenye lugha? Kujaga na kufuataga haimo ndani ya kamusi ya Kiswahili na wewe naona unatumia. Okay basi natutumie hiyo lugha unayoijuwa wewe hata ukaweza kuona makosa kwenye bango> Posti inayofuata andika Kingereza unijaribu kwani Kiswahili unaona sikijuwi.
 
Ha ha haaa nimeamini kuwa wewe ndiye uliyeandika bango eti ulikuwa ukipost kingereza ha ha haa sasa kimeenda wapi au mwenye dictionary kaichukua usifurahishe walionuna kwa ugumu wa maisha.

Naona sijakuelewa unabwabwaja nini hapa. Kumbe Hujuwi Kiswahili wala hicho Kingereza kwani angalau ungekuwa shujaa wa kutosha kutaka kunijaribu.
 
Yamkini si shwari tena hapa JF; Nadhani mjadala ungejikita kujadili kama majeshi ya Umoja wa Mataifa yapo sahihi au hayapo sahihi kuweka "No fly zone?" nini faida yake na nini madhara yake hasa kwa waafrika kwa hoja na mifano halisi, badala ya lugha iliyotumika kufikisha ujumbe, hii inakuwa siyo aibu ya wachangiaji peke yako bali inakuwa aibu kwa JF-members wote.

Maana umahiri wa kubishana ungekuwa juu ya kujenga hoja ya kutetea, kuunga mkono au kupinga Majeshi ya UN, na siyo kujadili uwezo na dini ya waliobeba au walioandamana na huo ujumbe ulio katika hilo bango.

Habari ikisha kuwa ya kisiasa ni habari ya jamii yote, na hivyo inatakiwa kujadiliwa kwa hoja pevu na kwa kuheshimiana bila kuweka itikadi, kama alivyochangia MMKJJ kama kuna tu alitaka kutoka nje ya ujumbe wa "No fly zone" angeonekana amekomaa zaidi kifikra kama angeelezea husiano wetu wakushindwa kuandika kiiingereza fahasa na mitahala yetu ya elimu pamoja na mfumo mzima wa elimu yetu ya Tanzania. Jueni kuwa hapa Tanzania hamna mfumo wa elimu ya Kiislam wala hakuna Mfumo wa Elimu ya Kikisto! Madhambi ya kupwaya kwa uwezo wetu kutokana mfumo wa Elimu hayawezi kuepushwa kubebeshwa CCM yakabebeshwa dini fulani, huko ni kufinyanga ubongo badala ya kuuwacha huru upumue.

Bahati mbaya JF hatuna Jukwaa la malumnano ya kidini watu wanaopenda hayo wangeamishiwa huko! lakini hata kama mkipewa jukwaa la malumbano ya kidini bado sioni kama mnajua mnacholumbania maana elimu ya Darasani inahusianao gani na dini au elimu ya dini ina uhusiano gani na elimu ya darasani?

Mjinga ni mjinga tu hata kama akiwa ana dini au hana dini. Pia wapo Wapumbavu walioenda shule na Werevu ambao hawajawai kwenda shule, msifanye hapa kuwa kijiwe cha kujadili upuuzi
 
me i hate you with your low knowledge of understanding issues! This shows hw your thinking capacity is limited smwhere pliz try to open up urmind and see hw world is going on usiishie kukariri then ur concluding madrasa, me pia ni madrasa and am good enough compared with you! ZEZETA.

Welldone Brother. Nimependa hii.
 
This is pathetic! Yaani siamini kwamba in a paragraph of almost 35 words, six of them are terribly broken.

however, sidhani kama tatizo ni uislam. I remember a few years back niliona bango la kualika waumini kwenda katika kongamano la Mama Lwakatare likisoma "we well come you to Mikocheni B Ass of God ...". I'm confidently sure the writer thought the best way to shorten the word 'Assemblies' is to write Ass in order to make words fit into the space provided. It was shamefully irritating!

Haaaaaa hah hah. Ass of God.
 
me i hate you with your low knowledge of understanding issues! This shows hw your thinking capacity is limited smwhere pliz try to open up urmind and see hw world is going on usiishie kukariri then ur concluding madrasa, me pia ni madrasa and am good enough compared with you! ZEZETA.


mhhhh,jaman wakubwa punguzeni jazba!
 
We need to ask allah now, ha ha ha ha ha ha ha ha ha maana kama msaidizi wake wa nchini Tanzania ndio hivyo tena, the only one left is allah, Please allah, can you help us here?

Acha kuandika upupu. IDIOT.
 
Kama wewe si Mpemba basi utakuwa maalim wa madrasa maana hao ndio wanasema kusomesha badala ya kufundisha wanasema skuli badala ya shule au utakuwa umesaidia kuandika bango.

Hebu kawaulize wanaojua. KISWAHILI FASAHA kinazungumzwa wapi? Eti shule!!! Pumbaf.
 
Ama kweli waislam wa tanzania ni jamii iliyonyuma sana ktk elimu!jitihada za makusudi zahitajika kuinusuru jamii hii!misamaha ya kodi kwa madhehebu ya dini haiwanufaishi chochote kwani huenda hakuna taasisi ya kiislam iliyojenga shule wala hospitali kwa msamaha wa kodi!TAFAKARI

Hawawezi chochote: hawawezi hata kujiongoza wenyewe- kwa uwingi wao ningetegemea wawe na taasisi nyingi, kubwa na efficient ktk nchi hii . Cha kushangaza viceversa remains true. Tuache kuwajadiri.
 
Pumbaf! taratbu unajivua nguo!
Unajuwa mtu anaekuwa na asili ya ushenzi huona kitu kikubwa sana kupata kitu angalau kimoja kitachomfanya aonekane si mshenzi. Pengine hili linaapply kwako. umepata tabu kubwa kutoka kwenye watu unaowadharau ( kwani kwako kujuwa kingereza ndio kuondosha ujinga) hivyo unaona ukae jukwaani kujitafautisha na hao walioandika hlio Bango!
Wanaoandamana ni Waislamu na wao wana uhuru wa kuamuwa kipi cha kukipinga. Naona wewe huna elimu kama unavyojidai lakini ungefahamu jina la Libya pengine ungejuwa kwanini walisema Waislamu wa Libya. Ulikuwa ukituhangaisha kumbe upumba tupu hujwi kitu wala ukisikia basi huwezi kutafakari. Rudi kasome tena halafu ndio uje na hoja za maana. Wewe Pumba kwani hao Waislamu walikusudia kuleta hilo Bango hapa hata useme wao ndio wanaoleta udini humu. Tatizo lako kuwa elimu uliyonayo haijawa na manufaa kwako kwani angalau ingeondowa chuki akilini mwako.

Edit kwanza mistari yako na ujue maana ya neno PUMBAF, hili kwetu tunameza na kuendelea na safari ungesema mie **** hapo ningekuelewa lkn Pumbafu duh, low level ndugu yangu, sijasoma kama unavyofikiria, mie ni mkulima lkn chakuombea maji nakijua hata nikiambiwa kuandika bango kamwe haliwi na mistakes kama za madrasa...wewe ni ......sijui nikuweke katika kategoria gani...
 
Kama wewe si Mpemba basi utakuwa maalim wa madrasa maana hao ndio wanasema kusomesha badala ya kufundisha wanasema skuli badala ya shule au utakuwa umesaidia kuandika bango.

Ni maalim kama Seif au?
 
Ha mwadila! Naona bora uache kuandika kwani hata hao wasomi wenzio watajitenga nawe. Huna hoja hata moja ya maana. Lamaana hapa ni kuwa Bango limekosewa kuandikwa basi na sio kuwa Waislamu hawana elimu kwani machokoraa si Waislamu peke yao na naogopa kufanya chokoraa wa kikiristo kuwa sawa na Wakristo wote.

hahahah eti kaona Mnasemaga limekosewa duh?ama kweli wewe ILMU madrasatul, huo ni msamiati endelevu mtu wangu, pitia pitia google kidogo basi wajameni upatage mambo mapya.....
 
Naona umekosea. Mimi si Mpembna bali ni Muunguja, bali upuuzi wenu kutokujua Zanzibar hata ingawa ipo maili chache tu. Pia mimi si mwalimu wa madrasa bali naam nilishapitia madrasa lakini huku kwetu madrasa huwa tunasoma baadaya saa za skuli. Na kuhusu lugha yangu jee umeipenda? Hicho ndicho Kiswahili na nafikiri wewe umetoka mikoani kwani tayari wazaliwa wa mjini wanatumia kiswahili sahihi cha skuli badala ya shule hasa walipoelewa kuhusu Kijerumani na Kiingereza basi Kiingereza kilikuja baadae na kufuta lugha ya Kijerumani.
Ama hili la kusaidia kuandika bango inwezekana lakini naona tatizo lako kwangu ni lugha ya Kiswahili kwa vile wewe ni wakuja. Nimekuwa nikiposti kwa lugha ya Kiingereza lakini hujawahi kunikosoa isipokuwa hiki kiherehere chako cha kujifanya unajuwa KKiswahili na hali ni Wakuja.

Mkuu edit maneno then mistari maana inakuwa kama mipasho, Tofauti kati ya Skuli na shule nilipo REDISHA inakuwaje au pia ni msamiati?
 
WAARABU WEUSI, wangeandika Kiarabu kusingekuwa na kuchapia namna hiyo, wangepatia vizuri saaana ila kwa kuwa they are Black Arabs by manner and dressing, hatushangai
 
Hongera nduguyangu kwa kuwa kidume chambegu na namsikitikia huyo dada yangu alikuwa na kazi ya kutowa unga kwanza kabla ya kupata hicho anachotaka kwani kwa ulivyo nafikiri haijamenywa!
Huku unakokuita Pemba usingepata msichana wa Kiislamu kwani nyie kwetu ndio wakulima wa mashambani.


Kunilimisha kwenu huko pemba usidhani unanitesa au vipi ni mazoezi tu ya Viungo na bila kulima mie MSUKUMA sijisikii fresh so keep on doing it baby, kumenywa ndo nini? ndo ILIMU yenu inawasomesha hivyo? Unajuaje za wasukuma hazimenywi au IMEKUNYEA? toa ushuhuda ndugu, mwanajeshi hukaa gwandani ili ajulikane, siwezi chukua msichana kwenu maana hawana uzoefu wa mambo na mie msukuma napenda mechi za wazoefu sio maninja....
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom