Hiki si kisasi huu ni unyama!

DC, wazazi kama hawa na akiwa na lengo kama hili hawezi kusubiri mpaka mtoto afikishe miaka 18, anaanza kumuweka karibu sana tangu akiwa mdogo... then anaamza kumfanyia hivyo vitendo kidogo kidogo at tender age, mtoto anaweza akadhani ni kitu cha kawaida na ma-zawadi na mapenzi yale anayoonyeshwa, akiambiwa usimwambie Mama naye anakaa kimya... kwa hiyo anavyozidi kukua na mzee anazidi kujivinjari... kwa sababu fikiria at 18yrs halafu baba aanze tu from nowhere kumweleza mambo kama hayo, lazima atashtuka...

kweli askofu wa kulaumiwa zaidi ni baba, mtoto akikua na kujua yale si sahihi inakuja kua too late kwani nae amesharidhika na vile anavyofayiwa na baba
 
Mom, nimepata shida sana kuelewa hii story. Naomba nisieleweke kuwa naunga mkono unyama aliofanya huyu baba. Lakini najaribu kujiuliza, hivi huyu mtoto walibakwa? Inawezekana mtoto alijilegeza kwa baba naye akafanya kama wanavyofanya baba wengine wapuuzi wanaotembea na watoto wao wa kuwazaa. Tatizo linaweza kuonekana kubwa kwa sababu huyu mtoto siyo wake na huyo baba mzazi ameona hicho kitendo kikamuuma! Kuna ugumu kidogo kuitafakari hii hadithi!

Ni Kisasi... kuwalipizia wote wawili... SIMTETEI..ila fikiria mateso ya mume mtu kisaikolojia kuanzia kulea mimba isio yake na kuvumilia maumivu yanayotkana na majigambo ya mfanyabiashara mkware... binti nae kanjanja... ana akili timamu ana bado anamkatia mauno baba yake... Kuliko kupata mada kesi.. akaona bora alinde hadhi ya kiume(kukivunja bikra na kuendelea kumega kwa fujo)...anamtumia salaam mfanyabiashara na mkewe...!!TOO BAD!!
 
heri kuwa mpofu wa macho usiione hii dunia ikiwa uchi,
maana ukiiona kuna mengi yatakustaajabisha,

Mungu aliisitilisha kwa vazi jema lakini haikutaka kusitiliwa,
sasa iko uchi, naam; uchi ambao haufai kuuona kwa macho, wala
kuusikia kwa masikio, maana waweza jiuliza, na ukakufuru Mungu bure!!!
 
Kama ni kweli huyo jamaa ni mbinifu na mvumilivu wa ajabu!!! yaani amevumilia itakuwa kama miaka 18 hivi ili tunda likomae!!!!
Kutafuniwa mke inauma mno!! naona siyo vizuri alivyo fanya, ila ni adhabu safi sana kwa wakware wale!!!!??

lakini hapa adhabu kapewa mtoto na si wale wahusika!
 
Hii story ni ngumu kutafakari ila zipo nazinaendelea kwenye majumba yetu. Siyo rahisi mtu kuja hapa na kueleza yanayomsibu. Hivi kama kuna watu wanaweza kulala na mama zao au kubaka mama zao atashindwa nini kulala na mwanae?

Tumuombe sana Mungu, tunakoelekea siko.
 
sijawahi kuona kisasi cha namna hii sio bure huyu aliyemegewa mke ana akili kama za samaki ..
Anachofanya ni ukatili wa hali ya ajabu sana ,Mwanamke nae hapo inabidi avunje ukimya .....
Dunia hii imekwisha ni bora yesu kristu arudi upesi tunakoelekea siko kabisa

uyo mwanamke malaya ni mpumbavu hana maana. kutoka nje ya ndoa ni uchafu kupindukia, cha ajabu wengi humu hawagusi hilo, hasa nyie wanawake mnaochangia hamgusi hapo kwasababu na nyie pengine ni malaya. however, huyo jamaa anachofanya ni kitu kibaya sana, na ni dhambi itakayomtafuna maisha yake yote, hawezi kulipiza kisasi kwa mtoto ambaye hana hata kosa, uyo mtoto ni innocent kabisa kama ana mahasira yake angeyamalizia kwa mkewe na si kwa mtoto ambaye hajui hata kilichotokea kabla yeye hajazaliwa, hii no roho mbaya kupitiliza, just imagine kama ndo angekuwa mtoto wake angejisikiaje!
 
Kwa sisi waamini, tunaomba Yesu arudi haraka maana hiki kizazi kimekengeuka first class
 
LOL........hii stori ni moja ya movie za kibongo nilizowahi kuangalia jina lake nimesahau.....inawezekana hao watu huko tandale walikuwa wanasimuliana hio movie.

Wanaondika "script za movies" mara nyingi huwa ni tafsiri ya maisha ya jamii husika.

Kuna Wa-Baba wanamega watoto wao wa kike - kwahiyo case ya huyu jamaa is one in a million
 
Ila huyo mtoto pia ana genes flani karithi kutoka kwa maza, 18yrs tayari amekuwa na akili zake timamu na anajua nini anafanya kama angekuwa hataki angesema, na hata kumshitaki huyo mdingi kwa ndugu jamani. Yawezekana pia ni laana coz huyo mama naamini bado hajatubu, angetubu mapema na kuweka kila kitu wazi yawezekana hayo yote yasingetokea. THE WORLD IS OVER AISEEE.
 
Ila huyo mtoto pia ana genes flani karithi kutoka kwa maza, 18yrs tayari amekuwa na akili zake timamu na anajua nini anafanya kama angekuwa hataki angesema, na hata kumshitaki huyo mdingi kwa ndugu jamani. Yawezekana pia ni laana coz huyo mama naamini bado hajatubu, angetubu mapema na kuweka kila kitu wazi yawezekana hayo yote yasingetokea. THE WORLD IS OVER AISEEE.
sure ni laana, maana laana ni roho inayotembea kutoka kwa mtu hadi kwa mtu, usifikiri ni jambo jepesi mwanamke kutokuwa mwaminifu hadi kuzaa nje ya ndoa na mumewe yupo, kweli ni tamaa za mwili wake lakini kuza nako ni tamaa za mwili sa angezaa na mumewe, na hii sisue itawatafuna wate wawili.
maana mwanaume naye anaonekana kuyasikiliza sana mahubiri ya ufahamu wake yaliyo mtuma kumharibu mtoto asokuwa na hatia hata kidogo, kwanini asingemtafuta mke wa mfanyabiashara ili kuonesha naye umwaba wake? hapo anajitia aibu mwenyewe, maana huo ni mchezo anaoujua yeye peke yake, vipi kwa jamii inayokuzunguka isiyoju kinachoendelea?

....................hakika kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa..............
 
This cant be real na kama ni kweli then this is the most fucked up sht i ever read....SICK SICK SICK :A S-eek:..... if the girl is under 18 huyu moron lazima apewe punishment... kwani serikali ya TZ itamfanya nini mtu kama huyu?
 
This cant be real na kama ni kweli then this is the most fucked up sht i ever read....SICK SICK SICK :A S-eek:..... if the girl is under 18 huyu moron lazima apewe punishment... kwani serikali ya TZ itamfanya nini mtu kama huyu?
Mimi nashangaa sis hii stori haijakaa sawa sumsing is misng sumwhr.
 
Mimi nashangaa sis hii stori haijakaa sawa sumsing is misng sumwhr.

Da Womanizer (Hili jina gumu...:embarrassed1:)...

Inawezekana kwamba hii story ya kutunga, lakini kuna wababa wanalala na watoto wao wa kuwazaa
 
Tatizo la Waafrika wengi mtoto ni mpaka atoke kiunoni, so long anamwita BABA angemlea kama mtoto wake tuu. Vile vile bahati mbaya sana watoto kama hao wanaweza kuwa watu miongoni mwa watu kuliko wale waliotoka viunoni mwake.
 
This cant be real na kama ni kweli then this is the most fucked up sht i ever read....SICK SICK SICK :A S-eek:..... if the girl is under 18 huyu moron lazima apewe punishment... kwani serikali ya TZ itamfanya nini mtu kama huyu?

Vile vile nyaraka za kuzaliwa LAZIMA zitakuwa zinaonyesha kuwa yeye ni Baba Mzazi hivyo kama hii mada ni ya kweli, wanaharakati wamchukie sheria kwa kutembea na mwanae
 
Quagmire of evil, which ever angle you look at it. Wote wamepata laana, and to use a child is the lowest the man has fallen.

If this stori is true, God forgive them as its the worst of abominations! God forbid! Not only to a child who has called you father all of her life...to any others child it is sickening.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom