Hiki ni kipimo kizuri cha " how unselfish you are"

Maundumula

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
7,553
3,070
Hello,

Fanya hesabu ifuatayo, angalia kwenye records zako za JF halafu kokotoa kama hapa chini;

Likes Given-Likes Received = " How unselfish you are"

Kama unapata Negative ujue wewe hali tete!

:heh:
 
Hello,

Fanya hesabu ifuatayo, angalia kwenye records zako za JF halafu kokotoa kama hapa chini;

Likes Given-Likes Received = " How unselfish you are"

Kama unapata Negative ujue wewe hali tete!

:heh:

sasa si ubandike tu
 
nakataaaaaaa
mfano natumia simu hapa hakuna kitufe cha like wala like sizioni......

Hiyo formula haifaaaaaiii mweh!!!!!!
 
nakataaaaaaa
mfano natumia simu hapa hakuna kitufe cha like wala like sizioni......

Hiyo formula haifaaaaaiii mweh!!!!!!

hata mimi kwa principal hiyo nitaonekana mbinafsi kwa sababu huwa napenda sana kutoa LIKE lakini nashindwa kwa kuwa natumia Jamii Forums through mobile phone.
 
Sasa kwa wale ambao wanatumia simu au other mobile devices ambazo hazina kitufe cha like wafanyaje? Uoni hapo kuna uonevu?
 
Hahahaha, Sweetheart? Since when?
Naona umejipromote, hakuna kungoja. lol

Aren't you a sweetheart,since like day 1? Sitaki kuchakachua hii thread ya watu but i believe you aint a bitterheart either and what with that hahahaha nitahama mimi wewe.
 
Aren't you a sweetheart,since like day 1? Sitaki kuchakachua hii thread ya watu but i believe you aint a bitterheart either and what with that hahahaha nitahama mimi wewe.
Usihame please, utaniacha na nani humu ndani?
 
Muda mwingi natumia simu, like natoa ninapokuwa kwenye pc....
 
Tatizo wengine wanatumia mobile, inakuwa ngumu kumpa mtu 'like' yake, ingekuwa sio hivyo mbona ningempa kila mtu 'like' anayostahili.
 
Back
Top Bottom