Hiki ndio alichosema Diamond baada ya Wema Sepetu kuzungumza kwenye XXL

Karibu JF!
Maana umekuja na speed cha Ngorika vs Buffalo (enzi hizo)
I am wondering if all your accusations are true.
Remember at one time Wema was miss Tanzania.
Hao wanaume kama kweli wanampenda wangemsaidia kuondokana na hilo tatizo unalosema.

Huyu ni diamond au wanawake walionunua beef yao! leo ndo harufu! kaangalie wa kuwadanganya mana kwa kuwasikiliza wote wawili mi saivi mtu hanidanganyi nshajua kila mtu shida yake! okada afadhali umenisaidia kuangalia kuwa ni new comer nilihisi tu! diamond saizi anabwabwaja eti alitongozwa facebk! mara wema anapenda media duh! inakuelezea u wa aina gani! wema kakuonglea vibaya wapi unakokusema? kila siku anaomba wasimulize kitu juu yako? shida unayo! ktk fans ulowapoteza mi mmoja wao!
 
Ningemckia mmoja kati ya wanaume wake wakisema hajui kujisafisha ningeamini japo kidogo ila wadaku..... Mnazusha2
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom