Hiki ndicho alichosema Dr. Lwaitama

nimeisoma hii kitu kama vile Dr ..Lwaitama anavyoongeea... sauti ile ile ya kwake

ameongea ukweli mtupu....ccm hawana jipya
 
CCM acheni uwoga mnaeneza propaganda mbuzi ili iwe kwenu rahisi kupiga watu virungu na risasi hata hao mnao watuma wamesema sasa imetosha kutumiwa na watawala kuwauwa ndugu zetu baba zetu watoto wetu kama ni virungu safari hii washike kina IGP na wenzao kina shimbo ambao badala ya kudhibiti amani jeshini mpaka mabomu yanajifyatukia ovyo mnaingia kwenye siasa vueni magwanda basi muingie kwenye siasa askari wa ngazi ya chini si mbumbumbu wa kufikiri kama ambavyo mmekuwa mkiwadhania labda hao askari wawe watoto wenu au wapwa zenu.MTANZANIA WA LEO NI MWINGINE.CDM elimisha nchi nzima wavunjaji wa amani tunawafahamu kwani wana maghala ya silaha na mabomu mpaka pa kuyaweka wanashindwa.Wametufanya sisi ni karakana za kujaribia sheria na silaha.IMETOSHAAAA
 
Tatizo ni kwamba wakiona makundi ya wananchi mioyo yao inaenda mbio. Kwa hiyo kama chama dola sisiem lazima itafute njia ya kuzuia maandamano hayo. Lakini ni nani anayeweza kupambana na nguvu ya umma!!
 
I totally agree with Dr Lwaitama and to add ... it's not true that all CCM members are stupid people but most stupid stupid people are CCM members plus their leaders !!!! naomba kuwakilisha.
 
CCM bana, kweli hamna mtu humo anayeweza kufikiria buyond the average level? It is a simple logic kuona kama kuna vurugu au la. i dont know kwanini wanalia lia kila mara na wao ndo wameshikilia kila kitu...

Mtaji wao mkubwa ni ujinga wetu watanzania na kulemazwa na slogan yao ya kipuuzi ya amani na utulivu wakati haki haitendeki. Sasa baada ya kugundua wananchi sio wajinga tena na wanajua kudai haki zao wanauona mwisho wao ndio maana wanatapa tapa na kulialia tu. JK pamoja na chama na serikali yake wamejipambanua kuwa wao ni mafisadi sasa wanatarajia waungwe mkono na watanzania tuliowengi na ambao wametutelekeza? Rais anaamrisha polisi waue raia wasio na makosa, Pinda analidanganya bunge na watanzania hadharani na bila woga halafu wanasema serikali yao ni makini na inajali raia wake! Sasa ni jambo moja tu either waondolewe au watekeleze matakwa ya wananchi na sio mafisadi!
 
Mimi nasema wawakamate tu viongozi wa CDM ndipo watakapojua kidumbwedumbwe. Kweli hapata kalika.
 
Kama kawaida Dr. ameeleza katika lugha nyepesi, ambayo kila mtu anaweza kuelewa!

Kazi kwenu wasioelewa!
 
Dr Lwaitama is right, unaweza ukatofautisha uDr wa makumbusho na waPHD. Tusichoke kuielimisha serikali tukutu
 
tatizo Chadema mnasema maovu yetu mpaka yale ambayo wananchi wa kawaida hawatakiwi kujua mnatakiwa kuchuja na mengine mmezee kwani wananchi wakijua yote hii nchi itatawalika kweli?
 
Anadhihirisha tofauti ya upeo wa kuona, kuchambua na kuamua kati ya udaktari (dr.) wa kuuenyea darasani na ule wa heshima.
 
DR Lwaitama alijibu mapigo yaliyotolewa na Rais, na viongozi wa chama cha mapinduzi, alisema mambo yafuatayo;

  1. CDM wana haki ya kutafuta na kuongeza wanachama kwa kuzunguka mikoani, haki hiyo ni ya kikatiba na vilevile ipo chini ya Sheria Ya Vyama vya Siasa.
  2. Na CCM kama inahitaji ifanye hivyo, isikalie kulalama tu
  3. Mambo yanayoongelewa na CDM ni halali kwa sababu kazi ya chama cha siasa ni kuangalia mambo ambayo yanayoumiza wananchi
  4. Hakuna machafuko yoyote kwa sababu, CDM walipoenda Mwanza walifanya mikutano baada ya pale wananchi wapo wanendelea na shughuli zao kama kawaida, vivyo hivo Shinyanga, Kagera na Musoma
  5. Maandamano yote yalipata baraka zajeshi lapolisi lakini pia walipewa ulinzi wa polisi sehemu zote
  6. Hakuna anayewalazimisha wananchi kuhudhuria mikutano ya CDM bali wananchi wanavutwa na kukunwa na sera za CDM, Hivyo CCM isiwasemee wananchi
  7. Wanaotaka kuvuruga hii nchi ni CCM kwasababu ya kuendeka swala la Amani ambayo mda wote imekuwepo
  8. Maneno ya Chiligati, RAIS, waandishi wa habari ni kutaka kukisaidia chama cha mapinduzi ili kuweka taswira kwa wananchi kuwa CDM ni mbaya inaleta vurugu, hivyo kuwafanya jeshi la polisi wasiruhusu maandamno ya CHADEMA kanda za juu kusini
  9. Hakuna aliye na lengo la kupindua serikali, bali Serikali legelege huondolewa kwa maandamano madogo kwa sababu serikali ya namna hii huogopa kila kitu ni hutaka kudhibiti maandamano, likitokea hili serikali husababisha vurugu na hivyo kusasbabisha vita
  10. Aliwambia kuwa kama wanaona Mbowe na Slaa ndo wanasababisha vurugu ambayo haipo basi wawakamate na kuwatia ndani ili waone kama amani itakuwepo.
Haya ndiyo yaliyosemwa na Dr huyo, wewe una maoni gani?

Nimekogengea li-Thanks kuuubwa kwa kutujuza!

CCM inaogopa lele wimbi la kaskazini likishuka kusini, likely CDM ndo itachukua usukani, sasa wanaweka mikakati ya kuisambaratisha CDM ili wimbi likija likute wananchi hawana chama mbadala.

CCM wanaogopa hata kivuli chao wenyewe, wanatafuta namna ya kuanzisha vurugu ili waje sema CDM ndo chanzo kama walivyosema mauaji ya Arusha. Wananchi hatutarudi nyuma, bora tuchague jiwe lituongoze kuliko kuchagua CCM.
 
CCM wanaelewa haya yote lakini vichwa ngumu. Asante Dr. kwa kuzidi kuwaelimisha wana ccm na vibaraka wao.
 
Kama kuna watu ambao CCM inawaogopa kwa sasa ni Dr. Slaa na Mbowe. Hawa CCM inawachukulia kama magaidi wakati wananchi wanawachukulia kama mchungaji aliyeibuka Loliondo saizi kutokana na magonjwa iliyoyaacha na kuyalea mpaka saizi!
Kweli kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Mzee wa rula nimekugongea thanks , Nice msg!:welcome:
 
Back
Top Bottom