hiki kiswahili cha RICK ROSS sikielewi

nyabhingi

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
15,515
20,005
[Rick Ross]
Tupac and Juice riding [?] on the loose
King James round my neck, haters wish it was a noose
Long Maybach and I wish it was a coupe
Kush out the jar, car smellin' like duke
Quarter milli on the seat, yeah I know I'm a goof
Designer underwear she knows I'm a goose
Got the wide body I'm a fat mutha----er
In Swahili I'm screaming "stack muthaf*cker"
Ya homie won't stop until I decide to
Until then I'm making rollie's for the homies to ride to
Smokes on the folds, folks wanna know
Bitch I'mma boss, best foots on the blow
Keep the hat pulled over, Big P on the front
Travis on the drums, big weed on the blunt
Being Savage where I'm from, Girls manage from the jump
Don't trap me like a punk, Travis handing me the pumps, so...

[Swizz Beatz - x2]
Can a drummer get some
Can a drummer get some
Can a drummer get some
Can a drummer get some
Can a, can a drummer get
can a, can a drummer get
Can, can a drummer get
(Can a drummer get some)
 
Write your reply...ila wanyamwezi wanakipenda kiswahili kwa kipindi hiki jay z nae kachana kiswahili ktk ngoma yao apeshit
 
Influence ya Diamond hiyo kawaimbisha Wanyamwezi kiswahili hadi wenyewe wameanza kukikubali...😎
Kwani kabla ya huyo Diamond wako Kiswahili kilikuwa hakizungumzwi au kutumiwa na baadhi ya wanamuziki huko Unyamwezini? Kiswahili kilianzianza kutumiwa kabla huyo jamaa yako kuzaliwa. Wazee wenzangu mnakumbuka wimbo wa Kiswahili uliotamba sana duniani uitwao Malaika? Kumbuka pia kundi maarufu liitwalo Boney M, liliurudia wimbo huu, Diamond alikuwepo? Mchawi wa pop duniani marehemu Michael Jackson katika wimbo wake maarufu uitwao Liberian girl? Kwenye wimbo huo alichomekea Maneno ya Kiswahili ambayo yanafahamika vyema yasemayo; Nakutaka pia, nakupenda pia! Ni maneno yanayosikika vyema masikioni. Diamond alikuwepo? Huo ni ujinga kumpa mtu sifa zisizomstahili.
 
Wivu on de sport
 
Ali Kiba Shikamoo
 
Influence ya Diamond hiyo kawaimbisha Wanyamwezi kiswahili hadi wenyewe wameanza kukikubali...😎
bangi mbaya sana" punguza bangi mkuu". kiswahili kutumiwa na ma star wakubwa sio jambo geni Duniani' ... late Michael Jackson ameshaimba kiswahili kwenye wimbo wake wa Liberian girl'.... Leone rich" ameshawahi kuimba pia kwenye wimbo wake wa all night Long'' ..... hebu jicheke kidogo aisee
 
Movie ya Jim Carry the mask pia walitumia Kiswahili. Ukitumia kiswahili unaonekana umeweka uafrika. Naamini lugha zingine zote za asili zilizo Afrika ni za kikabila isipokuwa Kiswahili ndiyo maana kunatumika sana.
 
Ali Kiba Shikamoo
emoji12.png
Ndiyo nani huyo mtu?
Wivu on de sport
Nimuonee wivu kwa lipi hasa?
 
bangi mbaya sana" punguza bangi mkuu". kiswahili kutumiwa na ma star wakubwa sio jambo geni Duniani' ... late Michael Jackson ameshaimba kiswahili kwenye wimbo wake wa Liberian girl'.... Leone rich" ameshawahi kuimba pia kwenye wimbo wake wa all night Long'' ..... hebu jicheke kidogo aisee
Movie ya Jim Carry the mask pia walitumia Kiswahili. Ukitumia kiswahili unaonekana umeweka uafrika. Naamini lugha zingine zote za asili zilizo Afrika ni za kikabila isipokuwa Kiswahili ndiyo maana kunatumika sana.
Watoto wa juzi hao, ukiwaambia ukweli watakwambia una wivu au watakuita jina la mtu mwingine. Mambo ya ajabu sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom