Hiki kifaa nitakipata wapi? Msaada

SIM

JF-Expert Member
Oct 25, 2011
1,795
1,300
Wanajamvi kwanza kabisa heshima mbele. wakuu ni wapi naweza pata RECEIVER aina ya
ARISAT AR600 MPEG4 HD. Zinapatikana wapi na bei yake kama kuna mdau anafahamu zinapopatikana basi anisaidie. natanguliza shukrani.
 
Unataka kuchakachua sio ?. Risiva ya arisati a 600 zipo nyingi bei yake kati ya 60 na 80. Na hizo hdmi mpeg 4 pia zipo wewe hupo wapi ? Kwa dar nenda pale k.koo kuna duka linatizamana na benki ya posta ddc huliza kwa bonge(ligofootwear) au kwa levi mtaa wa livingstone na udoe
 
Mkuu mimi nipo moshi. nimekupm
 
Unataka kuchakachua sio ?. Risiva ya arisati a 600 zipo nyingi bei yake kati ya 60 na 80. Na hizo hdmi mpeg 4 pia zipo wewe hupo wapi ? Kwa dar nenda pale k.koo kuna duka linatizamana na benki ya posta ddc huliza kwa bonge(ligofootwear) au kwa levi mtaa wa livingstone na udoe

Kumbe zinafaa kuchakachua? kaka naomba ukipata muda wakupita mitaa hiyo niulizie model hiyo ninayoitaka pamoja na bei. mimi nipo moshi kama vp tunaweza wasiliana na ukanisaidia namna yakuipata.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom