Hiki chuo mbona maji ni taabu

Cassava

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
282
36
Wadau hapa UDOM mi nashindwa kuelewa kwa nini, chuo kimefunguliwa lakini maji ni ya shida. Hivi hawa wahusika na maji hawajuwi kama chuo kimefunguliwa au mpaka vijana waanze kuimba zile nyimbo zao? Kila college in Tank kubwa la maji lakini hayafunguliwi kunani?
 
Back
Top Bottom