HIJA ndani ya ISRAEL

.
Hija ni tendo lakiimani, Islam ni imani pekee inayozungumzia neno Hija ktk kitabu chake kama ni ibada yenye mipaka yakisheria. Imani nyenginezo hawana ibada ya Hija kwenye vitabu vyao! Ndio maana nasema huo ni utalii wa kidini tu!

imani yangu ina ibada ya hija na wala usidanganye watu hapa

.
Tukitaka kufahamu jambo lolote, turudi ktk source yake. Hakuna ubishi hija ni neno la kiarabu "Al-Hajj" ni yule alietekeleza ibada ya hija ambayo hufanyika Makkah tu!. Hatujapata kusikia Al haj kutoka Israel, ataitwa jina jengine sio Hajj kwani Hija hufanyika makka tu!

kwa hiyo kiarabu hakina tafsir ya lugha nyingine??
usilete udni hapa bwana wengine sio anga zetu hizo....
 
Bi Mgen vipi weye hivi mpaka leo bado haujafunguka waarabu wanawadanganya makkah ni utalii hakuna tofauti na mtu kwenda Ngorongoro,Manyara,Haifa,Bwagamoyo,Madina,New york,Cairo na nk.

.
Ah.. bakonde! Ndugu yangu we acha haya ni mambo ya imani, hata unachokiamini wewe wengine wanaweza kukushangaa! Hadi leo bado hujashtikia tu!
 
.
Hija ni tendo lakiimani, Islam ni imani pekee inayozungumzia neno Hija ktk kitabu chake kama ni ibada yenye mipaka yakisheria. Imani nyenginezo hawana ibada ya Hija kwenye vitabu vyao! Ndio maana nasema huo ni utalii wa kidini tu!

am not in the mood!!!

.
Tukitaka kufahamu jambo lolote, turudi ktk source yake. Hakuna ubishi hija ni neno la kiarabu "Al-Hajj" ni yule alietekeleza ibada ya hija ambayo hufanyika Makkah tu!. Hatujapata kusikia Al haj kutoka Israel, ataitwa jina jengine sio Hajj kwani Hija hufanyika makka tu!

sipendi kuwekewa maneno mdomoni agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
imani yangu ina ibada ya hija na wala usidanganye watu hapa

kwa hiyo kiarabu hakina tafsir ya lugha nyingine??
usilete udni hapa bwana wengine sio anga zetu hizo....
.
Kama umemfahamu mtoa mada hupaswi kunilaumu, hakuna udini hapa ni kueleweshana tu! Kama umeshindwa we achia tu. Unachojidi kukitaa ndicho kinacho kutesa!
 
.
Kama umemfahamu mtoa mada hupaswi kunilaumu, hakuna udini hapa ni kueleweshana tu! Kama umeshindwa we achia tu. Unachojidi kukitaa ndicho kinacho kutesa!
niambie hicho kitabu changu ambacho haina mambo ya pilgrimage hapa maana naona unanifahamu kuliko nvojifahamu mwenyewe.......
 
Kwa hiyo hija ni utalii unaofanyika makka?

Haswaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.Hija ni utalii kama ulivyo utalii mwingine wowote unaofanyika hapa duniani tofauti ya utalii wa Ngorongoro na Makkah si kubwa sana,wanaokwenda kutalii makkah wanalazimishwa kumpiga mawe shetwani asieonekana.Ngorongoro unamtazama Simba,faru,chui na wanyama wengineo,Makkah unampiga mawe shetani katika hali ya kubanana sana infact utalii wa makkah si mzuri kwa mtu anaependa hewa safi na utulivu.Kiranja Mkuu kama utataka ushauri utembelee wapi baina ya Makkah na Ngorongoro nitakushauri uende Ngorongoro utafurahia mandhari nzuri.
 
Kwenda Macca kuhiji au kwenda Israel kuhiji ni safari ya kiroho huwezi kuingilia Imani ya mtu au kumchagulia Nia yake kwenda huko.
 
.

hija hufanyika sehemu moja tu ktk dunia, makkah mikusanyiko na ziara nyengine zote hazipaswi kuitwa hija , kwasababu hija ni matendo maalum yanayofanyawa sehemu maalum kwa wakati maalum. Kwahiyo huo ni utalii tu
Vyanzo vikuu vya mapato ya Saudi Arabia ni 1. Mafuta 2. Utalii. Sasa hiyo no 2 tafsiri mwenyewe kama hija au utalii(akili za kumezeshwa changanya na za kwako)
 
Naomba tofauti kati ya utalii na Hijja na uhusiano kati ya utalii na Hijja halafu niyachakate nijue which is which
 
Back
Top Bottom