HIJA ndani ya ISRAEL

Nadhani ni utalii zaidi! Hata mimi nina ndoto ya kwenda huko siku moja!
 
Ni utalii kwa asilimia 100 % ni kama mtu akiamua kwenda kutembelea Serengeti,Ngorongoro,Nairobi,Makka,Madina,Havana, au sehemu yoyote inayovutia.
 
sehemu gani hasa ya Israel???

Israel ni nchi ndogo sana! Yaani inaweza kuwa sawa na mkoa mmoja mkubwa wa Tanzania. Kwa hiyo unaweza kutembelea sehemu zote muhimu za kihistoria zilizopo huko!
 
I knw one of the places where people go for pilgrimage is Haifa.....
 
OK! I have no idea of the whole pilgrimage schedule or places. Ila nina taarifa kwamba kuna safari hivi karibuni ya kwenda huko ikiongozwa na Mwakasege kama sikosei. It costs USD 2,500 per person!
 
ndio kila kitu inclusive huh.....!!!!
anyways personally am attached to Haifa and going there for pilgrimage is also my plan................
 
Unapokwenda kwenye nchi yoyote duniani unahesabika kama mtalii kwa hiyo hao wanaokwenda Israel kwa mamlaka za huko ni watalii tu. Mambo ya Hija au vinginevyo yanakuja baadae maana ni personal zaidi.
 
ndio kila kitu inclusive huh.....!!!!
anyways personally am attached to Haifa and going there for pilgrimage is also my plan................

I did not get the details if that is only airfare or it includes everything and for how long. May get them next Sunday, don't worry! Lazima siku moja tukanyage pale kwenye nchi takatifu.....Holy Land!!
 
exactly..........I should give you a DVD which shows places for pilgrimage in Haifa, you never know you might like to visit that as well.....
 
Takatifu kwa kuwa haina rushwa bila shaka,
tena nahisi waisrael wana roho ya uzalendo sana.
Sidhani kama rasilimali zao wageni wanazichea kama wazichezeavyo huku kwetu
 
I knw one of the places where people go for pilgrimage is Haifa.....
.

hija hufanyika sehemu moja tu ktk dunia, makkah mikusanyiko na ziara nyengine zote hazipaswi kuitwa hija , kwasababu hija ni matendo maalum yanayofanyawa sehemu maalum kwa wakati maalum. Kwahiyo huo ni utalii tu
 
un uhakika gani na mimi sifanyi matendo maalumu ninapokwenda hija Haifa...thats my 'HOLY LAND' kwa wakati maalum??
tafadhali tuelewane vizuri hapa.......
nakwenda pilgrimage Haifa in the near future!!!!!!!!!!
 
Hivi ni nini maana ya Hija? Isije kuwa tunazamia tu maneno ya dini za watu bila hata kujua maana yake!
 
Ok! I would love to watch it.
u got it!!!

Hivi ni nini maana ya Hija? Isije kuwa tunazamia tu maneno ya dini za watu bila hata kujua maana yake!

kwenda hija ni kutembelea sehemu /eneo takatifu kwa sababu za kidini/safari ya kwenda sehemu ambayo ina uhusiano na jambo unaloliheshimu....if my memory is still intact!!!
 
un uhakika gani na mimi sifanyi matendo maalumu ninapokwenda hija Haifa...thats my 'HOLY LAND' kwa wakati maalum??
tafadhali tuelewane vizuri hapa.......
nakwenda pilgrimage Haifa in the near future!!!!!!!!!!

.
Hija ni tendo lakiimani, Islam ni imani pekee inayozungumzia neno Hija ktk kitabu chake kama ni ibada yenye mipaka yakisheria. Imani nyenginezo hawana ibada ya Hija kwenye vitabu vyao! Ndio maana nasema huo ni utalii wa kidini tu!
 
u got it!!!

kwenda hija ni kutembelea sehemu /eneo takatifu kwa sababu za kidini/safari ya kwenda sehemu ambayo ina uhusiano na jambo unaloliheshimu....if my memory is still intact!!!

.
Tukitaka kufahamu jambo lolote, turudi ktk source yake. Hakuna ubishi hija ni neno la kiarabu "Al-Hajj" ni yule alietekeleza ibada ya hija ambayo hufanyika Makkah tu!. Hatujapata kusikia Al haj kutoka Israel, ataitwa jina jengine sio Hajj kwani Hija hufanyika makka tu!
 
.

hija hufanyika sehemu moja tu ktk dunia, makkah mikusanyiko na ziara nyengine zote hazipaswi kuitwa hija , kwasababu hija ni matendo maalum yanayofanyawa sehemu maalum kwa wakati maalum. Kwahiyo huo ni utalii tu

Bi Mgen vipi weye hivi mpaka leo bado haujafunguka waarabu wanawadanganya makkah ni utalii hakuna tofauti na mtu kwenda Ngorongoro,Manyara,Haifa,Bwagamoyo,Madina,New york,Cairo na nk.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom