Hiii sentensi mimi yanikeeraaa... nisaidieni kuwaonya..!!

data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
26,149
22,726
Oya kuna hawa wanaosemaga eti.... "Napita tu hapa"... ktk threads..
uwa wanamaanisha nini hawa viumbe...??
na unaposema wapita wamaanisha nin?? kwamba hujaelewa au hujasoma.. na kwa nin usisepe tu kimya kimya..
Waache Ujinga hawa..

Nisaidieni kuwaonya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom