Hiii decade inaitwaje?

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,885
MDA SI MREFU TUTA ANZA DECADE NYINGINE
HALAFU KUTAKUWA NA THE TWENTIES,THE THIRTIES,THE FORTIES,THE FIFTIES,

SASA HII DECADE NA INAYOANZA INAITWAJE?????

KAMA VILE THE EIGHTIES,THE SEVENTIES, NA KADHALIKA...

The Uh-OhsWhat should we call the last decade?

By Christopher BeamPosted Friday, Dec. 18, 2009, at 11:51 AM ET

PRINT DISCUSS E-MAIL RSS RECOMMEND... SINGLE PAGE
Yahoo! Buzz Facebook MySpace Mixx Digg Reddit del.icio.us Furl Ma.gnolia Sphere StumbleUponCLOSE

Less than two weeks remain in the first decade of the new millennium, and we still can't decide what to call it. Some decade-in-review features go with "the aughts." Others have proposed "the 2000s," "the '00s," the "double zeros," the "double ohs," or the "noughties." (This last one has actually caught on in Britain.) Slate's music critic, Jody Rosen, prefers "the Beyoncés." How has this issue been resolved in past centuries?
It hasn't been. History books, newspapers, and works of fiction have generally avoided naming the decade that began in 1900. But the most common terms include the aughts (also spelled oughts) and the noughts—a logical extension of the fact that Americans living at the turn of the century referred to individual years as "aughts," meaning zero, as in "nineteen aught one," "nineteen aught two," etc. The earliest reference to the noughts in the Oxford English Dictionary dates from 1904, when a theater critic wrote, "In the 'seventies ... Demon King and Fairy Queen ... were familiar and popular things. But to satirise them now, in the 'noughts ... is to shoot at a target long since removed." The first reference to the aughts in a major newspaper didn't come until 1933, when the Chicago Tribune called the first 10 years of the century the "Naughty Aughts." It would seem that our predecessors confronted the same dilemma we confront now: Nothing sounds quite right. They were more likely to go with "the first decade of the century" or the "turn of the century" than a pithier term.
091219_YearCalTN.jpg
What will we call the first decade of the millennium?Prior to the 20th century, no one really cared about this problem. In fact, it wasn't common for English speakers to refer to decades in groups—like "the '40s" or "the '50s"—until the mid- to late 19th century. The earliest example of such decade labeling available in the OED is from an 1853 issue of the New York-based magazine Littell's Living Age. The magazine notes that men born in the "the seventies" of the previous century were dying at the fastest rates, while death notices for men born in "the sixties" were more scarce.

The custom of treating each decade as a coherent period of time indicating a particular cultural moment didn't occur till the self-proclaimed "Roaring '20s." Although the 1890s are sometimes called the "Gay '90s" or the "Naughty '90s," the decade didn't actually earn this nickname until the 1920s. Since then, decades have been associated with particular events and trends—the '40s with World War II, the '50s with the nuclear family, the '60s with the sexual revolution—but usually only after the fact.
 
Mwaka 2010 bado tutakuwa katika decade ya 200 iliyoanza 1st January 2001. Decade ya 201 itaanza 1st January, 2011. Zingatia kwamba decade ya kwanza ilianza immediately katika tarehe ya kwanza 01/01/01 na sio 01/01/00 na ilikamilika tarehe 31/12/10 na sio 31/12/09. Kwa mantiki hiyo mwaka 2010 ni wa kukamilisha decade ya 200 na sio wa kuanza kwa decade mpya. Kwa summary, miaka inayoishia na zero ni ya mwisho katika decade, na inayoishia na 1 ndio ya mwanzo katika decade na ndiyo maana hakukuwahi kuwapo kwa tarehe 01/01/00. Hayo ni mawazo yangu kimahesabu, na ninadhani nipo sahihi, ila nitakuwa sipo sahihi IWAPO siku ya kwanza katika kalenda ilikuwa TAREHE MOJA MWEZI WA KWANZA MWAKA SIFURI.
 
uko sahihi rafiki!
 
analysis iliyoenda shule !!!!!!!!!!!!!
hongera
 
Back
Top Bottom