Hii ya wapi!

Nashukuru Mungu nimepitia vilevi vyote hadi unga unaosemwa ni ngumu kuacha, mi nimeacha.
 
Kweli mkuu!!?? ila kama umepitia skatai kwa vugezo vifuatavyo;
1: Tangu umevuta bange hukuwahi kujua/kujifunza kunyonga(Ku/roll)
2; unga hukuwahi kuvuta kila siku wala kununua ila tu zaidi ya kugongea
 
We we we sema su, mimi Mungu alinijalia kupata pesa mapema mno wakati sijui maisha ni nini, na ndio ktk kipindi hiko hata 20 sijafika ndipo nilipopata demu fulani wa kiarabu,huyo demu anakula vyote hivo tukishapata hivo vitu mapenzi yetu ni rafu kishenzi hakuna uchafu tusioufanya humo ndani.
 
Kwa hyo mkuu unatka kunambia uliacha bila kupitia cjua rehab wala nn
 
Kuna kituko nilikifanya nikauzuria Segerea miezi 4, niliteseka sana kule selo siwezi kusahau, na nilipotoka ndio ikawa kwaheri.
 
Dooh pole sana asee sema ni mapito tu..nipo napigana vita ya kuishinda hii mnaita bhange cjui, nikisema nastop bas ntavuta sigara mpka kero yani
 
Bhange sio mbaya,kama huwa hauaribu kitaa, ila kama huwa unaharibu kitaa basi na yenyewe iache, sema tatizo linalowakuta wengi ni kutaka kwenda kwenye hatua nyingine ya kutumia Madawa hapo ndipo wanapoenda kupotea.
 
Hiyo kitu siyo mchezo.
Nakumbuka siku ya kwanza kuvuta ilikuwa mimi na mdogo wangu,unaambiwa tulienda kuivutia kwenye pori la mbali kishenzi ili kujificha tu.
Tumevuta vizuri tu tukaona ya kawaida tu,mziki kwenye kurudi nyumbani sasa,tulikuwa tunacheka njia njia nzima hamna kuongea wala nini,ni kucheka tu.
Ile siku kutoa harufu tukanunua big g kama ishirini hivi.
Bhangi bhana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom