Hii ya Uganda KALI ikija kwetu haponi mtu

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,374
Bunge la Uganda linakusudia kuwasilisha muswada wa adhabu kali hadi kifungo cha miaka 10 jela kwa watakaobainika kuvaa nguo fupi almaaruf vimini

muswaada huo utazuia pia vipindi vya televisheni venye waigizaji wenye mrengo huo sambamba na miziki mbalimali ikiwemo ya wanamuziki maarufu kama Madonna na Beyonce

hii ni kaazi kweli kweli maana wanataka kuidhibiti hadi mitandaoni,je yawezekana?
 
Dah kuna watu wataumia sana ikija bongo hii, kuna wadau wa uswazi nawafahamu wanapenda sana kushinda Posta mpya, Mwenge na Ubungo terminal bila shughuli maalum ya kufanya ili wafurahishe macho yao kwa hivyo vimini.
 
Siku zote huwa hatuanzishi bali nikufuata nyayo ya walio tangulia ili kupata pakutolea mifano.

TUTAWEZA.
 
patachimbika ikifika hapa bongo,makanisani walipiga marufuku vimini lakini sina hakika saana kama ni makanisa yote na hata hayo yaliyopiga marufuku nayo sijaona ufuatiliaji wake kama kweli watu wameheshimu marufuku hiyo,
 
Nafikiri hali ya hewa ya sehemu husika lazima iangaliwe na kutiliwa maanani. Kwangu mimi ni fikira finyu kufikiria kwamba kila mwanamke/msichana anayevaa kimini maana yake ni kutafuta soko. Kwa hali ya hewa ya Dar Es Salaam na baadhi ya mikoa, vimini vinavaliwa kuwapa kinadada nafasi ya kupumua. Kwa Uganda poa, kwani sehemu kubwa ya nchi hali ya hewa ni baridi na kupiga vita vimini inaweza ikawa hatua sahihi.

Lakini je huko sio kuingilia uhuru wa wadada?

Tiba
 
Fikiria mara mbili kabla ya kuchangia.
 
Hii nimeipenda. Ningekuwa mbunge ningeanza na hoja binafsi juu ya hili. Ni upuuzi tu kusema watu wanavaa vimini ni kwa sababu ya hali ya hewa. Kwani hao wanaoishi dar na hawavai vimini ni mataahira?
 
Nafikiri hali ya hewa ya sehemu husika lazima iangaliwe na kutiliwa maanani. Kwangu mimi ni fikira finyu kufikiria kwamba kila mwanamke/msichana anayevaa kimini maana yake ni kutafuta soko. Kwa hali ya hewa ya Dar Es Salaam na baadhi ya mikoa, vimini vinavaliwa kuwapa kinadada nafasi ya kupumua. Kwa Uganda poa, kwani sehemu kubwa ya nchi hali ya hewa ni baridi na kupiga vita vimini inaweza ikawa hatua sahihi.

Lakini je huko sio kuingilia uhuru wa wadada?

Tiba

Bila shaka wewe ni mvaa vimini.
 
huwa mnajisikiaje unapofika sehemu unakaribishwa kuketi katika kiti halafu mbele unaachia kabisa kwa sababu ya uvaaji wenu wa vimini?
 
kuna mdada mmoja hapa juz kati nilimwona kajazia halafu kavaa nguo fupi mara hela ikamponyoka ikadondoka ile anainama kuikota sheikh ilibid nifunge macho. mzigo wote nje halafu amevaa ile chupi ya mstari imezama yote makalion duu!
 
Back
Top Bottom