Hii ya Mtwara Kwa JK hii ni nadra sana. Kulikoni??

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,100
6,022
Jamaa anamaliza wiki sasa bado yupo Mtwara, kulikoni? manake tuseme angekuwa anacheki hali halisi ya gas na oil ili awalete wawekezaji tungeelewa lakini anatemebelea sehemu na vijiji vyote vya MTWARA.
AU NDIO KAANZA ZIARA MAJIMBONI KUWASHUKURU WAPIGA KURA?? hII NI NADRA SANA KWA JK NA SAFARI ZA NDANI.
 
Hana pa kwenda ugabuni na Magogoni hapakaliki so anakimbilia 'Ntwara' kujificha na matatizo aliyotusababishia
 
Jamaa anamaliza wiki sasa bado yupo Mtwara, kulikoni? manake tuseme angekuwa anacheki hali halisi ya gas na oil ili awalete wawekezaji tungeelewa lakini anatemebelea sehemu na vijiji vyote vya MTWARA.
AU NDIO KAANZA ZIARA MAJIMBONI KUWASHUKURU WAPIGA KURA?? hII NI NADRA SANA KWA JK NA SAFARI ZA NDANI.

watanzania hamna pema, JK akienda nje inakuwa NONGWA!! akienda kusalimia wapiga kura hamtaki!!! Lakini DR. Slaa akiongoza maandamano mwashangilia. Mwacheni JK asikilize kero za wananchi; Mtwara akenda rasmi kufuatilia suals la stakabadhi ghalani na kero ya maji.

Tulitoa ahadi tukichaguliwa tutatua kero za wananchi; tuachane tutekeleze kwa VITENDO
 
watanzania hamna pema, JK akienda nje inakuwa NONGWA!! akienda kusalimia wapiga kura hamtaki!!! Lakini DR. Slaa akiongoza maandamano mwashangilia. Mwacheni JK asikilize kero za wananchi; Mtwara akenda rasmi kufuatilia suals la stakabadhi ghalani na kero ya maji.

[/B][/COLOR]Tulitoa ahadi tukichaguliwa tutatua kero za wananchi; tuachane tutekeleze kwa VITENDO[/SIZE]

mkuu naungana na wewe, ila kama issue ni stakabadhi ghalani na pembejeo si tatizo la Mtwara tu, nchi nzima na vinara wakubwa wa kula hizo kitu ni ma RC na ma-DC wake. akae bongo tu awastaafishe wote kwa manufaa ya umma ateue wengine. Kwa kiasi kikubwa hawa jamaa ndiyo wanaosababisha jk achukiwe na wakulima.
 
Jamaa anamaliza wiki sasa bado yupo Mtwara, kulikoni? manake tuseme angekuwa anacheki hali halisi ya gas na oil ili awalete wawekezaji tungeelewa lakini anatemebelea sehemu na vijiji vyote vya MTWARA.
AU NDIO KAANZA ZIARA MAJIMBONI KUWASHUKURU WAPIGA KURA?? hII NI NADRA SANA KWA JK NA SAFARI ZA NDANI.
Tangu sheikh wetu amekufa, magogoni ndoto za kutisha, hakulaliki. Akitoka mtwara ataenda Malawi kusuluhisha.
 
Jamaa anamaliza wiki sasa bado yupo Mtwara, kulikoni? manake tuseme angekuwa anacheki hali halisi ya gas na oil ili awalete wawekezaji tungeelewa lakini anatemebelea sehemu na vijiji vyote vya MTWARA.
AU NDIO KAANZA ZIARA MAJIMBONI KUWASHUKURU WAPIGA KURA?? hII NI NADRA SANA KWA JK NA SAFARI ZA NDANI.

Yuko ukweni, hakuna cha ajabu.
 
Back
Top Bottom