Hii ya leo imenisikitisha sana! Hivi wanaume tukoje jamani?

Mmmmh!! wewe ungefanyaje?

Nyie watu bana! mambo mnayoyawaza huwa yananishangaza sana!
Noja nijikate k i- slace mie!!



tgooooooooooooooo njo basi...:A S-baby:

miss u boy....utanipeleka KUCHA?

haha hahh msalimie b bonge!!!!!!!!!
 
These words are abusive and should not be used here!
What is wrong with our thinking process? Why should we debate about Tigo? Do we encourage it?
A woman should not encourage, this, in any event. Mwache mumeo awe na hawara (ni kasumba yake) kuliko kudharirika!

" Au, je, hamjui kwamba watu wabaya hawataurithi Utawala wa Mungu? Msijidanganye! Watu wanaoishi maisha ya uasherati, wanaoabudu sanamu, wafiraji au walawiti, wanyang'anyi, wachoyo, walevi, wenye kusengenya, walaghai, hao wote hawatashiriki Utawala wa Mungu" (1Wakorinto 1:9).

Una maana hata Bible tuiedit? tunakaribisha maoni.
 
tigo tigo tigo tigo tigo loh kazi mnayo wazee wa back to back.............

usijali akikuomba unamwambia subiri nikujaribishe wewe halafu pitiha midole gumba make sure unamparuza na makucha akome tabia mbaya
 
Hivi leo ni maadhimisho ya siku ya tigo duniani?
Kwenye daladala maongezi ni tigo, ofisini nako ni hivyohivyo, hata na jf pia?
Amazing

Ndugu yangu Mikela ukiona hivyo, ujue kuwa tigoism sasa hivi imeenea sana miongoni mwa jamii yetu.
 
Hii ya moto moto kutoka Clouds. Mwanaume mmoja huko Shinyanga amefumaniwa (tena ndani ya chumba chake na mamsapu) akila uroda na house girl wao. Imekuja kujulikana huwa anamla takribani miezi 6 sasa - house girl wamekaa naye zaidi ya miaka 2 sasa.

Wife alivyotaka kujua kwanini jamaa anamla huyo house girl, jamaa akadai eti house girl anaweza kuruka ukuta wakati yeye wife hataki.

Hivyo kama anataka aendelee naye basi naye akubali kuruka ukuta (sasa sijui atakaa nao wote wawili au ...). Mama wa watu amejiondokea, ameacha hapo watoto wawili, mmoja ana miaka 2 na mwingine ana 4.

Leo ni mwezi wa pili jamaa anaendelea kufurahia tigo ya house girl. Kinachonisikitisha na kunishangaza, yaani tumefikia hatua hii jamani? kusema kweli mimi kama mwanaume nimejisikia kuumia sana moyoni mwangu! kwanini tunawa-treat hivi hawa viumbe? Nawasilisha jamani.

Sijui kwann nikadhani wewe ni mwanamke - huenda ni kwa vile wanaume wengi hawaoni kosa kwenye tabia ya mwanaume kulala na msichana wa kazi na mara nyingi husingizia ni kosa la mke kumwachia sana msichana majukumu.
Kisa hiki kimeweka wazi kiini hasa cha kuzuka kwa hii tabia chafu ya wanaume kutembea na wasaidizi wa ndani. Huu mchezo mchafu ambao uko nje ya majukumu ya mke ni moja ya sababu kuu.

Wanaume acheni kujidhalilisha!
 
Leo kuna nini?

Nyumba hujengwa kwa hekima,na kuimarishwa kwa busara.Kwa maarifa vyumba vyake hujazwa vitu vya thamani na vya kupendeza(mithali 24:3-4).

Nyumba haijengwi na tigo hata bwana yesu amesema.
 
Hii ya moto moto kutoka Clouds. Mwanaume mmoja huko Shinyanga amefumaniwa (tena ndani ya chumba chake na mamsapu) akila uroda na house girl wao. Imekuja kujulikana huwa anamla takribani miezi 6 sasa - house girl wamekaa naye zaidi ya miaka 2 sasa. Wife alivyotaka kujua kwanini jamaa anamla huyo house girl, jamaa akadai eti house girl anaweza kuruka ukuta wakati yeye wife hataki. Hivyo kama anataka aendelee naye basi naye akubali kuruka ukuta (sasa sijui atakaa nao wote wawili au ...). Mama wa watu amejiondokea, ameacha hapo watoto wawili, mmoja ana miaka 2 na mwingine ana 4. Leo ni mwezi wa pili jamaa anaendelea kufurahia tigo ya house girl. Kinachonisikitisha na kunishangaza, yaani tumefikia hatua hii jamani? kusema kweli mimi kama mwanaume nimejisikia kuumia sana moyoni mwangu! kwanini tunawa-treat hivi hawa viumbe? Nawasilisha jamani.
This is too much! mi nilidhani sanaa hii ipo maeneo ya pwani pwani tu kumbe mpaka bara! huu utandawazi utaleta athari mbaya!
 
wakina mama wengine wakiwa kwenye ndoa huwa wanajisahau sana kwani hata kusafisha sehemu nyeti huwa shida, pia, kazi zao wanawaachia mahouse girl. Hapa iwe fundisho kwa akina mama. lakini siwashauri watoe tigo
 
serious misfortunes are rampant in our world today. mama awatimue wote waondoke wakaanzishe mji wao huko. yeye abaki au aipangishe hiyo nyumba apate chochote cha kujikimu kuendeleza wanae. she should close the door kwa huyo jamaa milele
 
Jafadhali jamaa kaamua kusema ukweli, na huyi house Girl alimpa Tigo siku ya kwanza au ilikuwaje mpaka jamaa aka data? Huyo mama angekubali tu kwani kitu gani bana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom