Je ni sahihi jeshi kuwafanya ujasiliamali?
Wala hujaeleweka mkuu. Toa ufafanuzi basi. Wameomba wapi? Ili waanzishe benki ya nini?
Waende wakaombe kwa Shimbo na asubirie huyo Shimbo siku tutakapo pata uhuru wetu na yeye atakuwa ni 1 tutakao wanyonga kwa uhujumi uchumi
Hii habari ni ya zamani sana wakati jeshi linaadhimiasha miaka ya kuzaliwa kwake. Mwmunyange alipropose mpango wa kuanzisha JESHI SACCOS ili kusaidia wanajeshi kupata sehemu ya kuomba mikopo bila bureaucracy. Sidhani kama ina tatizo lolote.
mkuu wewe unaishi dunia gani? Jeshi ni ajira kama zilivyo ajira zingine. wanategemewa na ndugu kibao kwa ajili ya kuendeleza the so called extended family. wake up woman/manJe Wanajeshi wanaofikiria ujasiliamali wanaweza kupigana vita kwa moyo wao wote kweli? Kila mtu anataka kuwa tajiri hata wanajeshi nani atalinda nchi?