Hii ya Adam Malima na Tanesco ni tusi kwa watanzia.

Leo nimemsikia Adamu malima naibu wazili wa giza na mashimo anasema eti agreco wameleta mitambo walio nunua kwao. Sina tatizo kuhusu hilo lakini kilicho ni shangaza ni pale alipo sema eti wamekuja na mitambo mingine ipo bandarini ya megawati 50 na ataongea na selikari kama kuna uwezekano wa kuinunua!!!!!
Maswali.
1]Je? Ninani aliye washauli agreco walete mitambo hiyo mpaka bandari. Kabla ya makubaliano yakuinunua?
2]Je? Agreco ni wa machinga kwa kumsogezea bidhaa mteja kalibia na mali alipo?
3]Kama serikali itaamua kuto inunua hiyo mitambo je gharama za usafiri zitagharamiwa na nani?
4]Kama mitambo hiyo ya megawati 50 imefika bandarini mtanizuia vipi kuamini kwamba Marima na wenzie wananufaika kifisadi kwa kuishauli serikali kununulia mitambo bandarini?
5]Je bandari ni soko la mitambo?
Kama nakosea naomba kuerimiswa kuhusu hiliswala

Uko sahihi bingwa. kwani watanzania hawajui mitambo hiyo inakonunuliwa? umasaburi tu ndio unaowasumbua.
 
kwa kweli watanzania tumechoka na huu wizi wa mchana mchana jua kali kabisa, haiwezekani watanzania wanateseka kila iitwapo leo kwa ugumu wa maisha lakini kuna wengine kila siku wakiamka wanafikiria wafanye ufisadi gani. Watz swali la kujiuliza je tufanye nini sasa?
 
Leo nimemsikia Adamu malima naibu wazili wa giza na mashimo anasema eti agreco wameleta mitambo walio nunua kwao. Sina tatizo kuhusu hilo lakini kilicho ni shangaza ni pale alipo sema eti wamekuja na mitambo mingine ipo bandarini ya megawati 50 na ataongea na selikari kama kuna uwezekano wa kuinunua!!!!!
Maswali.
1]Je? Ninani aliye washauli agreco walete mitambo hiyo mpaka bandari. Kabla ya makubaliano yakuinunua?
2]Je? Agreco ni wa machinga kwa kumsogezea bidhaa mteja kalibia na mali alipo?
3]Kama serikali itaamua kuto inunua hiyo mitambo je gharama za usafiri zitagharamiwa na nani?
4]Kama mitambo hiyo ya megawati 50 imefika bandarini mtanizuia vipi kuamini kwamba Marima na wenzie wananufaika kifisadi kwa kuishauli serikali kununulia mitambo bandarini?
5]Je bandari ni soko la mitambo?
Kama nakosea naomba kuerimiswa kuhusu hiliswala
Hahaaahaaahaaa aisee kajamaa kana kiburi kama siyo jeuri. Halafu nasikia kameshajipatia eneo la uwekezaji katika madini ila sijui ni wapi. Tanzania nchi ya kifalme.
 
Leo nimemsikia Adamu malima naibu wazili wa giza na mashimo anasema eti agreco wameleta mitambo walio nunua kwao. Sina tatizo kuhusu hilo lakini kilicho ni shangaza ni pale alipo sema eti wamekuja na mitambo mingine ipo bandarini ya megawati 50 na ataongea na selikari kama kuna uwezekano wa kuinunua!!!!!
Maswali.
1]Je? Ninani aliye washauli agreco walete mitambo hiyo mpaka bandari. Kabla ya makubaliano yakuinunua?
2]Je? Agreco ni wa machinga kwa kumsogezea bidhaa mteja kalibia na mali alipo?
3]Kama serikali itaamua kuto inunua hiyo mitambo je gharama za usafiri zitagharamiwa na nani?
4]Kama mitambo hiyo ya megawati 50 imefika bandarini mtanizuia vipi kuamini kwamba Marima na wenzie wananufaika kifisadi kwa kuishauli serikali kununulia mitambo bandarini?
5]Je bandari ni soko la mitambo?
Kama nakosea naomba kuerimiswa kuhusu hiliswala

Katika kitu ambacho hakuna binaadam anaweza kukufundisha ni biashara. Kumbuka aggreko ndio kazi yao hiyo wameona tatizo na wanajuwa kuwa kuna "opportunity" wameleta mitambo wanakuambia tazama una tatizo hili na hili na hili, unataka mitambo hii hapa, ni ni cha ajabu hapo na hiyo ni "business strategy".

Ndio maana hatuendelei kwa mawazo duni kama yako.

Maswali yako mengine yote, hayana mshiko, hivi hujuwi kuwa Tanzania kuna sheria ambayo ina kuruhusu kufuwa umeme na ukauuza? Mbona hii imetangazwa sana tu? Kama Serikali hawataki kuinunuwa Aggreko wanafunga wanauza umeme, kama wanavyofanya wengine wengi tu, Artumas, Symbion, na hata kuna wenye majereta madogo huwa wanayakodisha hata ukiwa na shughuli tu wanakuletea. Sasa sioni cha ajabu nini kwa Aggreko kuleta genereta wakalitangaza kuwa kama una shida ya umeme lipo genereta hapa. Kwani hukumbuki hata mitambo yao ya kwanza waliileta kutoka wapi? Baadhi yake ilikuwa "standby" Kenya kama hujui.
 
kwa kweli watanzania tumechoka na huu wizi wa mchana mchana jua kali kabisa, haiwezekani watanzania wanateseka kila iitwapo leo kwa ugumu wa maisha lakini kuna wengine kila siku wakiamka wanafikiria wafanye ufisadi gani. Watz swali la kujiuliza je tufanye nini sasa?

Anza kuleta mkakati mkuu, baada ya kuchoka tunafanyaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom