Hii website inamdhalilisha Mwl. Nyere kwa nini serikali haiifungii?

galasa

Member
Dec 15, 2011
14
3
Mwalimu Nyerere - Articles, Transcripts and Legacies | Nyerere Against Islam in Zanzibar and Tanganyika

Hiki ni kipande kutoka katika hiyo website


Nyerere Against Islam in Zanzibar and Tanganyika
"Without any question, the manner and the implications of the union between Tanganyika and Zanzibar is the most misunderstood aspect of Tanzania's political development. It may not matter very much when foreigners get confused, but unfortunately there are many times when Tanzanians themselves appear to misunderstand it."

Former Tanzanian President Julius Nyerere. - Dar es Salaam Government Printer, July 1970. p. 3.

INTRODUCTION
When the former Tanzanian President Julius Kambarage Nyerere made the above address to his National Assembly that "the union between Zanzibar and Tanganyika is the most misunderstood aspects of Tanzanian's political development" proved that he is the only Tanzanian who knows "the manner and the implications of the union" after British colonialism in East Africa.

During the British colonialism, Zanzibar was the only intellectual center for Islamization of East African countries under the Zanzibar Sultanate. The Gofu and the Barza Mosques allowed students from the East African countries for the Islamic education. The Zanzibar Muslim Academy also offered the greatest hope for the vibrancy of Islam in East Africa. Nyerere, a devout Catholic saw that the Islamic Zanzibar state, a threat to Christianity. He masterminded a clandestine movement for the so called Zanzibar Revolution under the leadership of John Okello, a radical Christian from Uganda. It was not only a prelude to the creation of Tanzania, but a continuation of crusade against Islam and extension of Christian colonialism.
 
Sasa hapo imemtukanaje St. Nyerere?

Nyerere, a devout Catholic saw that the Islamic Zanzibar state, a threat to Christianity. He masterminded a clandestine movement for the so called Zanzibar Revolution under the leadership of John Okello, a radical Christian from Uganda. It was not only a prelude to the creation of Tanzania, but a continuation of crusade against Islam and extension of Christian colonialism

Umekisoma hiki kipande ?
 
..kwa upande wangu nikikutana na articles kama hizo nasumbuka zaidi kuutafuta ukweli.

..kwa ujumla nimemjua zaidi Mwalimu Nyerere kutokana na utafiti nilioufanya baada ya kukurupushwa na mada "chokozi" na "chochezi" kama hiyo uliyo-quote.

..makala za uongo na za kumkashifu Mwalimu kama hizo hazimbomoi bali zinamjenga zaidi.
 
uhuru wa habari kumbuka hizo articles zimeandikwa na intellectuals

Kuwa intellectual hakumaanishi uandike makala za kichochozi kama hizo ..... sasa huyo jamaa nia yake ilikuwa nini kama sio kuanzisha mifarakano kati ya wakatoliki na waislam ?
 
Anaedhalilishwa ni yule ambae yupo hai. Huyo jamaa hana hata habari saa hizi, nna uhakika yupo motoni.
 
Anaedhalilishwa ni yule ambae yupo hai. Huyo jamaa hana hata habari saa hizi, nna uhakika yupo motoni.

maneno kama haya hayatakiwi kutoka kinywani kwa great thinker! Hata kama unamchukia lakini sio uungwana kuandika maneno kama hayo...
 
unakosea kimaadili,kimtizamo na kiimani kuhukumu kuwa yuko moton, nadhani wewe unasukumwa na hisia za itikadi za dini zaidi, napingana na hoja kuwa eti kwa kuwa makala iliandikwa na intellectuals bas is materialy valid, no and big no, may only time will judge mwalimu perfectly, let you who campaighn for nyerere baba wa taifa kuonekana kiongozi mbaya ili wajahidina wenzenu waonekane bora sana lakini kumbukeni mna mjenga na kumuongezea utukufu mbinguni. acheni udini nchi hii yetu wote tuliopo na wajao tusiivuluge kwa misingi ya dini na tujitahidi kuelimika na kuelimishana elimu ya maisha na si kuishia madrasa na kukoswa sifa za uungwana.
 
1. Tanzania inaamini katika "uhuru wa kujieleza".
2.Tanzania haina cyberlaw za kutosha
3. Tanzania haina teknolojia ya kutosha.
 
It is known that the holocaust was so horrendous that 100 Muslims were baked to death in tanuri (the copra-kiln) at Bambi. Following the Muslims holocaust, Abeid Karume (1905-1972), born in Nyasaland (now Malawi) became the President of the People's Republic of Zanzibar. Karume secretly collaborated with the former Tanganyikan President Nyerere, an Islamophobic for the merger of Zanzibar and Tanganyika. Similar situation took place in Mindanao, an Islamic State founded by Sultan Sayyid bin Abu Bakr al-Hadhramy over 400 years before the ascendancy of the Roman Catholic Church in the Philippines and Tanganyika.


Check hawa watu wanavyomchafua baba wa taifa huko duniani ... kwa nini hiyo web isifungiwe tu kama ZE-UTAMU
 
Anaedhalilishwa ni yule ambae yupo hai. Huyo jamaa hana hata habari saa hizi, nna uhakika yupo motoni.
Wewe kwani Mungu? Mungu pekee ndio atakayetuhukumu kwa haki. Mwalimu Nyerere ni mwanadamu na kila mwanadamu ana mapungufu. Wewe ukamili hata ukasema haya? Unaujua moto wewe?
 
Anaedhalilishwa ni yule ambae yupo hai. Huyo jamaa hana hata habari saa hizi, nna uhakika yupo motoni.
Simtetei Nyerere wala sina upande ktk huu mjadala,
Lakini maneno kama hayo hapo juu ya FF sidhani kama yanastahiki kwa marehemu ukichukulia sisi waafrika tuna utamaduni wa kutomdhalilisha ama kumhukumu marehemu, kwani tunajua wazi kwamba hawezi kurejea na kujibu hoja hizi.

Ninaamini FF ukiendelea na hii hulka unaweza ukajikuta unapambana na kanuni za JF
 
Anaedhalilishwa ni yule ambae yupo hai. Huyo jamaa hana hata habari saa hizi, nna uhakika yupo motoni.

sure thing ff, ukizingatia kwamba alishawanyoosha 'wazee wetu wa sokoni kariakoo'

lakini bana kuna makala za jamaa mmoja anaitwa sijui kitu gani Zinjibari........zinanifurahisha sana.....mi namkubali sana. Isssue ni kwamba kama ni kweli, basi you guys should fight for is rightious yours.....i mean it....ikiachilia utani wangu wa wazee wetu, siamini kwenye kuonewa na kunyang'anywa haki hata kidogo.
 
Anaedhalilishwa ni yule ambae yupo hai. Huyo jamaa hana hata habari saa hizi, nna uhakika yupo motoni.

una uhakika eeeh? Umefika huko motoni ukamwona mpaka ujidai una uhakika?
Hata kama mtu humpendi chung kauli yako.
Utu ni kitu cha bure
 
Back
Top Bottom