Hii vipi jamani? Eti wenzangu!!??

Wandugu humu jamvini hebu mnisaidie hapa. Jana nilipotoka kazini kwangu nilipita sehemu na jamaa yangu tulisom wote chuo lakini tukapoteana kwa takribani miaka 7. Kwa hiyo katika kupat nafasi ya mazungumzo tukaamua tukae mahali ambapo tulikuwa tukipata kinywaji huku tukiendelea na mazungumzo na mamaaa nilimfahamisha jambo hili kuwa niko na huyo jamaa yangu ambaye nae pia anamfahamu. Baada ya kushindilia kilaji cha kutosha tukaagana na jamaa nami nikaelekea kwangu. Kiukweli nilipofika home baada ya kuoga nilimstua mamsap kuwa sitakula kula chakula. Baada ya mazungumzo kidogo tukaenda kulala nami kama kawaida ukizingatia nilishapiga na kilaji cha kutosha nilikuwa na hamu na mamsapu sana ukizingatia nilitandika vi-emolo vitatu na mambo mengine. Tukiendelea kupeana raha ghafla akaniuliza kitu ambacho sijapata jibu mpaka muda..Kuwa mbona nilikuwa natumia nguvu sana mbona wenzangu hawatumii nguvu sana?? Kwa kweli lile neno " mbona wenzako hawatumii nguvu" Ilibidi nisite kwanza kusukuma mzigo na kumuluuliza wenzangu akina nani?? hata yeye aliduwaa kwanza na zoezi likasimama moja kwa moja baada ya kumbana sana akadai alimaanisha kuwa eti mtu akiwa na mpenzi wake hakuhitaiki maguvu...Lakini bado akili hainipi kabisa!!! Hebu nishaurini au anamaanisha nina wasaidizi ambao ni soft touch???
LOL! Jamani kweli ndoa ngumu kama habari zenyewe ndio hizi
 
Mh mkuu usipaniki sana lkn jaribu kuchunguza, sidhani km unaweza ukasema kitu ambacho huna experience nacho, na watu wengi sana huwa wanaumbuka wakiwa ktk majamboz, Huko nyuma Kuna demu alishawahi niambia eti napenda mwanaume mwenye vidole virefu vya miguu, tukagombana sana lkn after three months nikaja jua kile alichomaanisha alikuwa na mwanaume mwenye vidole virefu. so fanya uchunguzi mkubwa
Ulichukua uamuzi gani mkubwa baada ya kugundua? Ulipiga mzigo chini au ulienda kuongeza urefu wa vidole vyako!? LOL!
 
...Beep ...Beep!

Umeelewa? shemeji anakubeep tu huyo kuangalia msimamo wako. Usishtuke na vitu vidogo vidogo namna hiyo, ...kakutega nawe umeuingia mkenge na mawivu kibao, acha hizo bro.

it's just mind games, start training your mind ku counter-attack 'vijimambo' kama hivyo ambavyo wanawake wa kisasa hutumia sana wakitaka kukuweka sawa kwenye 18 zao (usifurukute).
 
Mkuu kama unataka kuendelea kula bata usimchunguze. Amini alikuwa hamaanishi unavyo waza wewe. Jiulize unyafahamu mangapi ya wanawake na je umeyajua kwa kuwanahino?
 
Pole sana Mkuu huo ni ushahidi wa kutosha kabisa kwamba kuna njemba mnakula nao sahani moja tena si mmoja.
 
Pole sana Mkuu huo ni ushahidi wa kutosha kabisa kwamba kuna njemba mnakula nao sahani moja tena si mmoja.

....:D:D:D

kaka unamtisha mbona mwenzetu huyu?

Ndio kusema hizo njemba 'zikilewa' zinapiga slow motion tofauti naye? Hapana, Shemeji yetu aliteleza ulimi tu. Huenda nyumbani kwa laligeni hakuliki, hakulaliki mpaka kieleweke,... nikijitia kwenye viatu vyake 'inauma kwa kweli' kusaidiwa Mke.

Bado nataka sana kuamini Mke aliteleza ulimi tu, hakudhamiria hivyo Mheshimiwa alivyosikia. Kwenye malove-dovey saa ingine inabidi utalolisikia likupitie sikio hili litokee kule, la sivyo mnnnh...!

Mheshimiwa anajitishia tu na ubawa wake, asijitoe raha bure. Hata akichunguza hataambulia lolote kwa sasa...
 
Mpige slow motion halafu muulize kama hii ndiyo namna wanayofanyaga wenzangu..? uone majibu..
 
mkuu usijali shemeji aliwakumbuka tu wapenzi wake wazami wakiwa bado wadogo maana wale walikuwahajui speed yenyewe inayohitajika.
 
dah mzee hapo kuna walakini,eti "WENZAKO HAWAFANYI KWA NGUVU"....tunaambiwa usimchunguze bata lakini huyu ni wife mtu wa karibu anaweza akakuletea maradhi...take care mazee fanya uchunguzi kabla ya ku-conclude
 
Ni kweli dada kimya kimya its a huge turn off but kama hujafikishwa kiasi cha kuanza kugumia si bora uwe kimya ajue tu kuwa bado hajakufikisha!

Maana napata picha huyu shosty mwenzetu si kwamba hakuwa amefikishwa bali hata mawazo yake yaliwezasafiri seriously hadi kwenye sijui movie zite au story za mashogaze kama si kulinganisha ujuzi, wakati mwenzie anachanja mbuga lol.

Umenikumbusha shogangu mmoja yeye alikuwa majamboni sasa akataka kumfurahisha shemeji akajifanya ndo kafika na sauti imekauka kwa mafeelings ikamtoka oh honey please nifeel mimi (hata sijui alikuwa anamanisha nini hapa) sasa ile feel ikasikika vibaya ........ alijuta!!

Mi kama hujanifikisha bwana nakaa kimya ujue tu kuwa sijafiki so uongeze bidii kazini la sivyo tutadiscuss ukimaliza!



haki ya nani leo unaniacha hoi,lol....mie bwana ndio cwezi kunyamazaga kabisa, kanifikisha namwambia, hajanifikisha namwambia ajielewe kabisa acjitoe mijasho bure for nothing.

 
hivi wanawake hamkirihiki kufanya mapenzi na wanaume waliokunywa pombe? uggggggrrrrrrrrrrr me no thanks
 


haki ya nani leo unaniacha hoi,lol....mie bwana ndio cwezi kunyamazaga kabisa, kanifikisha namwambia, hajanifikisha namwambia ajielewe kabisa acjitoe mijasho bure for nothing.

[/COLOR]


hivi, eti Mrs, kwani mwanamke akifika mwanaume si anajua au? wala huna sababu ya kumwambia..I mean kwani kufikia kilele ni siri au wanawake mnatofautiana? nilidhani kuwamwanamke akifika unajua na asipofika pia unajua...lol
 
Back
Top Bottom