Hii vipi jamani? Eti wenzangu!!??

Sajenti

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
3,651
412
Wandugu humu jamvini hebu mnisaidie hapa. Jana nilipotoka kazini kwangu nilipita sehemu na jamaa yangu tulisom wote chuo lakini tukapoteana kwa takribani miaka 7. Kwa hiyo katika kupat nafasi ya mazungumzo tukaamua tukae mahali ambapo tulikuwa tukipata kinywaji huku tukiendelea na mazungumzo na mamaaa nilimfahamisha jambo hili kuwa niko na huyo jamaa yangu ambaye nae pia anamfahamu. Baada ya kushindilia kilaji cha kutosha tukaagana na jamaa nami nikaelekea kwangu. Kiukweli nilipofika home baada ya kuoga nilimstua mamsap kuwa sitakula kula chakula. Baada ya mazungumzo kidogo tukaenda kulala nami kama kawaida ukizingatia nilishapiga na kilaji cha kutosha nilikuwa na hamu na mamsapu sana ukizingatia nilitandika vi-emolo vitatu na mambo mengine. Tukiendelea kupeana raha ghafla akaniuliza kitu ambacho sijapata jibu mpaka muda..Kuwa mbona nilikuwa natumia nguvu sana mbona wenzangu hawatumii nguvu sana?? Kwa kweli lile neno " mbona wenzako hawatumii nguvu" Ilibidi nisite kwanza kusukuma mzigo na kumuluuliza wenzangu akina nani?? hata yeye aliduwaa kwanza na zoezi likasimama moja kwa moja baada ya kumbana sana akadai alimaanisha kuwa eti mtu akiwa na mpenzi wake hakuhitaiki maguvu...Lakini bado akili hainipi kabisa!!! Hebu nishaurini au anamaanisha nina wasaidizi ambao ni soft touch???
 
Ahaaa ulimi uliponza kichwa lolh ni bora ukafanya kimya kimya haya sasa

pole Laligeni usijipe presha mradi keshatoa hint we chunguza utapata jibu.
 
Taratibu baba, labda anaongelea movies?

Wallah nimebaki hoi....
 
Jamani yawezekana hakuna msaidizi ila tu labda kasikia mashoga zake wanasema wao huwa wanapelekwa taratibu nk. Lakini Laligeni, kwa nini utumie nguvu bwana? kuku wako mwenyewe wamshikia manati ya nini? au we mkurya?:D...Lakini usijali na pia chunguza labda unaweza ng'amua lolote.
 
Mpwa acha kumdanganya mwenzio. Kama siku zote alikuwa anamkandamiza kihivyo bila kulalamikiwa utajuaje? Afu nyie msipokandamizwa hivyo hamchelewi kumtafuta mkandamizaji mwingine. Acheni tuwakandamize bana, labda mtatulia.
 
Mh mkuu usipaniki sana lkn jaribu kuchunguza, sidhani km unaweza ukasema kitu ambacho huna experience nacho, na watu wengi sana huwa wanaumbuka wakiwa ktk majamboz, Huko nyuma Kuna demu alishawahi niambia eti napenda mwanaume mwenye vidole virefu vya miguu, tukagombana sana lkn after three months nikaja jua kile alichomaanisha alikuwa na mwanaume mwenye vidole virefu. so fanya uchunguzi mkubwa
 
Jamani yawezekana hakuna msaidizi ila tu labda kasikia mashoga zake wanasema wao huwa wanapelekwa taratibu nk. Lakini Laligeni, kwa nini utumie nguvu bwana? kuku wako mwenyewe wamshikia manati ya nini? au we mkurya?:D...Lakini usijali na pia chunguza labda unaweza ng'amua lolote.

aroo, inabidi ututake radhi sisi wakurya mura. bita ni bita tu!
 
Mpwa acha kumdanganya mwenzio. Kama siku zote alikuwa anamkandamiza kihivyo bila kulalamikiwa utajuaje? Afu nyie msipokandamizwa hivyo hamchelewi kumtafuta mkandamizaji mwingine. Acheni tuwakandamize bana, labda mtatulia.

Swala si kutafuta mwingine, ila jifunzeni kujua wake zenu wanapenda nin (kukandamizwaje) kwa kasi kama hiphop au taratibu kama blues. sasa si unaona mwenzenu anatumiaga minguvu kama anapigana na mwanaume mwenzie na kumbe bibie anataka slow motion eeh hehe heeeeee
 
Lakini si nasikiaga wengine hiyo miguvu ndio wanaitaka? Hivi yard stick ni ipi sasa?
 
Dah..mkuu Laligeni I can feel you!

Ila hapo kuna mawili....la kwanza, mpe "benefit of doubt" kwamba huenda kwa kusema 'wengine/wenzio' hamaanishi kuna anayemkandamiza kibara ila tu huenda amesikia/amesoma/ameona movies nk. unajua tena mambo ya saluni nk huwa kuna mengi (Ndio maana Mbu amesema kila mai wife wake akienda saluni atamprintia zile notes amwonyeshe kuwa anajua what she is likely going to do)

La pili, huenda ni kweli kuna kamsaidizi, lakini sikushauri uamini sana hili kwa vile ukiliamini wala hutamtaka tena (najua wanaume tulivo) so jitahidi nenda taratibu fanya background investigation, utampata tu.

Pole sana tena.

N.B Binamu zangu hapa naona kuna hoja imezuka..slo motion au hip hop(Carmel) sasa hebu mtuambie kabisa mnapendelea ipi? ili kukwepa kauli 'hasi' kama hizi kwneye 6x6
 
Best pole sana alimaanisha **** ntu mchana kamsukumia but taratibu wewe n mipombe yako unakuja na maspeed.

huna haja ya kufanya uchunguzi punguza vikako vya pombe uwe unawahi kurudi home, umkanyage kisawa sawa.
 
kaka deki inakula kanda!!!

chunguza kaka!
limtokalo mtu ndilo limjaalo! kuna jamaa anasukuma hapo!!
 
Ahaaa ulimi uliponza kichwa lolh ni bora ukafanya kimya kimya haya sasa

pole Laligeni usijipe presha mradi keshatoa hint we chunguza utapata jibu.

mami hapo umenifurahisha..lol....cna comment hapa lakini ni huge turn off.
 
[

N.B Binamu zangu hapa naona kuna hoja imezuka..slo motion au hip hop(Carmel) sasa hebu mtuambie kabisa mnapendelea ipi? ili kukwepa kauli 'hasi' kama hizi kwneye 6x6[/QUOTE]

Kaizer shemeji yangu acha kunitia matatizoni mie, ila kiukweli kuna wanaopenda slow motion na wengine hip hop sasa, msome mwenzio ujue. Pia hata wifez wanatakiwa wavoluntie kusema wanachotaka babu sio kusubiri jamaaz waguess weee, wakijapatia too late wasaidizi wanaojua kusoma mchezo fasta washapata mwanya.
 
haya mambo ukianza kuyawaza sana na kuyachunguza i doubt kama mtafika. mi sku hizi nimeona bora uuchune kivyako vyako tu. maana sasa hata sijui unaanzaje kuchunguza, mwisho wa siku unajiumiza moyo bure. kama hakuna kubwa la kusema linakutia wazimu, basi ni heri usifungue "pandora box".
 
[

N.B Binamu zangu hapa naona kuna hoja imezuka..slo motion au hip hop(Carmel) sasa hebu mtuambie kabisa mnapendelea ipi? ili kukwepa kauli 'hasi' kama hizi kwneye 6x6

Kaizer shemeji yangu acha kunitia matatizoni mie, ila kiukweli kuna wanaopenda slow motion na wengine hip hop sasa, msome mwenzio ujue. Pia hata wifez wanatakiwa wavoluntie kusema wanachotaka babu sio kusubiri jamaaz waguess weee, wakijapatia too late wasaidizi wanaojua kusoma mchezo fasta washapata mwanya.[/QUOTE]

Shemeji nimekukoti tu hapo juu maana ndo umelisema kwa uwazi wa kwanze ee shemeji....acknowledgment:D..
 
Back
Top Bottom