Hii umeigundua kwako?

Maalim Jumar

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,259
117
Habari za maisha JF!
Nimegundua ukitoa pesa unaweza kupata zingine kwa wepesi zaidi & vice versa.
Wewe umeligundua hili?
Haihitaji imani zaidi....ni utafiti tu!
Nawasilisha!
 
ni kweli lakini kama ukitoa kwa malengo kama vile kusaidia maskini,wagonjwa nk
 
HAPPINESS DEPENDS ON WHAT YOU GIVE AND NOT WHAT YOU GET! (Mama Thereza wa Calcuta)
 
A very strange phenomena which can not be explained scientifically... it happens to many and religious leaders are very good of using this phenomena to justify their couse...
 
What has happened to you?
Have you give out money?
 
ni kweli lakini kama ukitoa kwa malengo kama vile kusaidia maskini,wagonjwa nk

Ahsante kwa mchango mzuri.
Je wewe ukitoa hizo peso ...muda gani itakuchukua kuzipata zingine?
Maana wengine hulalamika kua zinapotolewa peso...hadi kupata zingine huwachukua masiku... and vice versa!.
 
Glad to hear it.
So! How long will u get it?

I don't care how long it takes because it happens that I don't feel the chasm! I don't feel that I am empty because I gave, and that's the good thing about giving.
 
A very strange phenomena which can not be explained scientifically... it happens to many and religious leaders are very good of using this phenomena to justify their couse...

Some other things are difficult to prove scientifically,especially love for money
 
Habari za maisha JF!
Nimegundua ukitoa pesa unaweza kupata zingine kwa wepesi zaidi & vice versa.
Wewe umeligundua hili?
Haihitaji imani zaidi....ni utafiti tu!
Nawasilisha!

ukizitoa kwa nani? na kwa ajili gani? au kutoatoa tu na kunyang'anya nyang'anya tu?
 
Kutoa kugawia wanaohitaji.Kutoa kama matumizi au kulipia huduma mbali mbali.
Je wewe ukizitoa huchukua muda gani kupata zingine?
 
Mkuu, unania ya kweli katika hili kweli Mtu atoe tu pesa zake kwa watu wanaozihitaji? wewe sasa tutakupeleka Milembe
 
Ninamaanisha watu wanaoomba misaada.
Kuna akina matonya na wengine wenye maradhi na ulemavu mabali mbali.
Wanahitaji kusaidiwa hawa.
Au huna upole na ukarimu wa kusaidia?
 
Back
Top Bottom