Hii tabia ya spika Anne Makinda kufokea watu kama watoto inanifanya nijisikie vibaya...

Hili nimeliona siku nyingi na nimewahi kulizungumzia hapa JF. Speaker anaendesha wabunge utadhani watoto wa chekechea. Aibu! Ndio maana bunge halina nidhamu utadhani klabu ya busaa, unajua uhuni breeds uhuni. Hongera upinzani jicho kwa jicho, u**nge for u**nge hadi kieleweke.
 
msamehe bure, ulishamuona anamfokea lukuvi au wasira? hua anawafokea mnyika na lissu kwa kua anajua moto wao ukiwaka hauzimwi hadi fire wafike wakati huo fire wako mbezi moto unawaka kigamboni.

Kwa hapo anonyesha kabisa kuwa kichwa chake ni cha kufuga nywele tu na si vinginevyo.
Katika maspika wote waliowahi kushika nafasi hii yeye kavulunda kuliko na akiendelea kwa miaka mingine mitano atasababisha machafuko. Hafai kabisa
 
mwanamke anayeishi bila mume mara nyingi anakuwa na hulka za ajabu ajabu tu, hizo zote ni kukosa mume

Amezaaje mkuu?

Short time

Hahaaaaaaaaaaa!!!!!!!!! nimekumbuka, alikuwa S.A.S. alimpa za short time

waume za watu kiongozi

Tabia ya mtu asiejiamini, especially akipewa madaraka, huwa ni kuwa na ukali usiokuwa na logic behind. Kwa kawaida karibia 75% ya wanawake wasiokuwa na waume huwa na tabia kama hii, hasa inapokuwa matumaini ya kupata mume (sio hawara, nina maana "MUME"), yanapofikia ukingoni kutokana na kigezo cha umri. Jaribu kufanya uchunguzi utagundua hivyo.

tofautisha kuishi na mume na kukutana na mwanaume kimwili.fikiri kidogo kabla ya ku-type!

Hahahaaaaaa asanteni sana wakuu.........JF na iendeleee kudumu mileleeeeee!!!
 
Huyu mama yuko kwenye ngazi ya kwanza ya uongozi,
  1. kwenye ngazi hii ya kwanza watu humfuata kiongozi kwa sababu ni lazima wamfuate ili kuendelea kuwa kwenye jumuia anayoiongoza, kiongozi wa ngazi hii yeye kwake uongozi ndiyo kila kitu.
  2. Katika ngazi ya pili watu humfuata kiongozi kwa sababu wanavutiwa na mahusiano aliyonayo, kiongozi anawapenda watu wake na wao wanampenda
  3. Kwenye ngazi ya tatu watu wanavutiwa kumfuata kiongozi wao kutokana na mambo aliyoifanyia jamii yake [mfano mchezaji nyota kwenye timu]
  4. kwenye ngazi ya nne kiongozi anavutia ufuasi kutokana na jinsi anavyowaendeleza wafuasi wake [mfano kocha mzuri kama Arsene Wenger]
  5. kwenye ngazi ya juu kabisa na ya mwisho, kiongozi anafanya yote ya kwenye ngazi za kwanza na analeta tija kwenye jamii au shirika lake, shirika linapata faida kwa uwepo wake
 
Jamani kila nikiangalia bunge.....huwa ninafurahi sana.....lakini spika kuwafokea watu wazima kama watoto wadogo....huwa najisikiaga vibaya........sifahamu nyinyi wenzangu...........


Hii kauli ;kaaa chiniii
Ndo Maana hata MUNGU amelaani mamlaka zote zinazoongozwa na Mwanamke
 
Wakuu achaneni na hiyo habari ya kuwa au kutokuwa na mume. Hayo ni maisha binafsi ya mtu na zaidi ya hapo huyo ni mama tujaribu kumpa heshima yake kama mama. Tujadili utendaji wake kama kiongozi kwani kwa kufanya hivyo kuna watakao jifunza kutokana na makosa yake ili wao waje wafanye vizuri zaidi.

Binafsi sipendi anavyoliendesha bunge kwa mabavu, uonevu kwa upinzani na upendeleo wa wazi kwa magamba lakini watu wakiaanza kukashfu kuhusu maisha yake binafsi huwa najisikia vibaya sana. SIYAPENDI MAGAMBA LAKINI SIPENDI ZAIDI KUTUKANA/KUKASHFU WATU KATIKA MAMBO BINAFSI.

Uko sahihi sana,mpinge mtu kwa yale anayofanya sio maisha yake binafsi,usikute watu wengine wanafuata mkumbo ukichunguza utakuta wenyewe hawakuzaliwa ndani ya ndoa Mama zao walizalishwa na kuachwa...
 
yuko vizuri kabisa kwa upande wa mdomo na sauti, kinachomiss hapo ni kibwebwe na vidole tu....... umeshawaona wale wafunga mtaa? kumpasha mtu kwa staili ya mtaani tipical! jamani
 
hana sifa za uongozi kabisa, sababu za kutokua na mume pia naziunga mkono kama ni kweli hana
 
Hata mimi ananikwaza sana huyu 'madam' na kijana wake ayubu.wananifanya nione vle vkao kama kipindi cha yule dada wa aitivii anayewapigia stori macharii tofauti ni hawa jamaa huwa wamepiga suti
 
Wewe kwanini ujisikie vibaya wakati watu wazima walioko bungeni wanakubali kufokewa hivyo kama watoto? Kama hawapingi wanastahili.
 
Back
Top Bottom