hii tabia ya kutupa vitu kwenye madirisha ya daladala mnaionaje?

ni tabia mbaya hata mim inanikera,kufanya hivyo ni kuonesha kwamba hatuna ustaarabu.
Ila inawezakana kuimaliza hii tabia,inabidi pawepo zile ndoo za kutupia takataka ktk kona za mijini kisha tuanze kampeni ya kuambiana kuwa kutupa taka barabarani si ustaarabu.Maana unakuta mtu ana gunzi la hindi hata asipolitupa dirishani mwa daladala ataishia tu kulitupa popote akishuka maana hakuna sehemu maalum zilizowekwa kwa ajili ya kutupa taka.
 
unajua hata wakiweka ndoo zitakuwa zinajaa bila kutolewa, tumeona hayo unaona dustbin lakini limejaa, minoana tuimprovise bila kuharibu mazingira yaani dhamira zetu zitusute.
 
Hahahaha, unasema tu, now that he is far from you.
Pale hukumwambia chochote, ukamwacha polisi aseme. lol

Ha..ha..ha Mwali unanichukulia pooooa.Polisi alikuwa ana-mind kwa nini anaweka foleni bila sababu.Kwa nini nisemezane naye? He could've done all the cursing from a safe distance since i dont hiroshima punks until they actually attack my space.Lol!
 
Back
Top Bottom