Hii siyo shule ya chekechea, ni saa 12 asubuhi!!

Jahom

JF-Expert Member
Aug 26, 2008
351
32
Hapa ni maeneo ya Buguruni, kuna watoto wengi sana kwenye lango hili na ni asubuhi sana saa 12. Ninachujua hapo si shule ya chekechea. Si leo tu.

Inawezekana wanapanga foleni ya kupata chochote kitu. Je, tutawatoa watu wetu kwa mtindo huu au tunajenga taifa la ombaomba? Tafakari!!!!!
 

Attachments

  • IMAG0304.jpg
    IMAG0304.jpg
    319.1 KB · Views: 84
Nataka tubadilike, misaada tunayotoa iwe yenye matokeo ya muda mrefu na endelevu badala ya kutoa hela ya kula siku moja tu.
 
Kuwapa msaada omba omba hasa wanaowatumia watoto barabarani na hapo kwenye picha wa sh. 100 hadi 1000 inawasaidia kuwafanya muda wote kuwa hivyo. Ni heri mtu aanzishe foundation ya kuwasaidia kielimu n.k
 
Back
Top Bottom