Hii site ina challenge?

NullPointer

JF-Expert Member
Feb 7, 2011
3,461
2,267
Em jamani angalieni hii site mpya.. Kati ya site za bongo nlizokua napitia, nimeipenda sana hii na nataka nimtafute Designer wake... Au toeni comment www.wemasepetu.co.tz/wemasepetu.html
 
ni nzuri ipo poa, ila weusi mzito juu na pembeni utoe weka rangi nyingine kama blu au pink au zambarau au light blue, si unajua girly color? hiyo nyeusi nzito inafanya site ionekane "ngumu".
 
Content ni nzuri ila kwa mwanamke kumuwekea white kila mahali sio nzuri.

Tena mwanamke mwenyewe wema .hell no.front page yako maudhui ni mazuri ila rangi nyeupe sio kabisa hata kama yeye anataka nyeupe.

We ndio designer use your creativity kumconvice na rangi zingine. try girlsh color haswa kwenye ile welcome page na ndani -iko kama gazeti ulivyo weka hiyo rangi nyeupe.Girls stuffs should be like this-----Irene Botique mgao, mgao jama yangu mmoja wa kino anaitwa reuben anazi junga sana maswala ya rangi rangi hiyo ni tenda nilimpa bado anatengeneza


Kiufupi contents ziko poa ila rangi umechemka kwa mimi lakini
 
dah mi sjapenda hata kimoja website za wasanii, movies, sjui miziki hazitakiwi zikae ki business namna hio.

Mimi si programmer nafkiri ungetakiwa utumie flash na manjonjo mengi

Hebu pitia website hizi maybe utajifunza kitu

BBC One - Merlin

Rihanna
 
1. Mbona sijaona hata logo or something?
2. What kind of title is that? Did u use MS Word WordArt to design that?
3. Hii template ingefaa sana kama ungetengenezea web ya gazeti.
4. Kwenye page yako ya Awards kwa nn usingezipanga Awards by time yaani current ndio ziwe juu
5. Kwenye page ya Films u dont need to put trailers, just Covers are enough
6. Think about Colors once again wadau hapo juu washasema.
 
mi nadhani rangi ni ishu hapo. Ila badili logo, na naona hiyo script uliyotumia si bomba
 
Yani website ni html full. Hapo inaonesha hujabobea. Hata contact form umeshindwa kutengeneza. Wema angenipa mimi ningemtengenezea kwa gharama karibu na bure. Graphics poor. Photo gallery haiko professional. Footer links some of them haziko sawa eg PRIVACY link. Ya kawaida saaaaaaana
 
huyo designer katumia full HTML no CSS or other language angalia links zote zipo underlined, rangi hazivutii, home page haina mvuto. website kama gazeti black & white!!!!
 
Back
Top Bottom