ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,772
- 6,555

Salaam wana JF

Wakati nasoma Sua, ue ya kumaliza semister ya pili, nipo kwenye pepa, bado kama maswali mawili. Msimamizi akatangaza kuwa bado ten minutes. Mtu mzima nika "piz" (kitu kikasimama antention). Nilipata raha, hata kuendelea na mtihani sikuwe tena.

Imeshawahi kukutokea?

Unafikiri ni kwanin?

Nawakilisha kwenu.

hii ishu kuna watu kama wawili walishawahi niambia nikabisha na mpaka sasa siamini hiki kitu.
ni hatari sana duu kwikwikwikiwkwiiii..