Hii si sawa........

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,597
5,788
Huu mfumo serikali wanaotumia kugawa mikopo ktk vyuo vikuu umejaa siasa sana.
napenda nizungumzie kwa upande wa sayansi. Serikali kwa kupitia bodi ya mikopo wameamua kutoa mkopo kwa asilimia mia (100%) kwa upande wa sayansi hii inaonyesha kuwa pengine wana value sayansi zaid au ni mpango wa kuwahamasisha vijana kujiunga na sayansi zaidi. Je wamewaandaa vijana wa kuja kuwapa hiyo 100%, shule hazna waalimu wa sayansi, maabara hakuna nani wa kupewa hiyo100%??????.
Kwanini wasianzishe changamoto from lower level????.. Kama kwa upande wa vyuo vikuu wanapewa 00% hizi leo nyingine wanapewa nini???????. Huu usanii mtupu wa serikali yetu.
HADI SASA SIELEWI DHAMIRA YAO. NAOMABA WANA JF MNISAIDIE,

thnx
 
Back
Top Bottom