Hii sehemu kama ya line kwenye laptop sielewi.

Kibirizi

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
604
146
Jamani kwenye laptop (DELL D620) yangu sehemu ya betri kuna sehemu kama ya kuweka line, ila nikiweka line haionyeshi kitu chochote, naomba msaada kwa mwenye ufahamu. Hii sehemu ni kwa matumizi gani?
 
ndio kaka unaweza kutumia modem built in kwenye laptop yako blaza....wala usiogepe ukujua simu
Hakuna kitu kama hicho.... Dell wameweka hiyo sehemu lakini ndani yake hamna hardware ya modem imechomolewa (ni kwa baadhi tu siyo zote)...
 
weka lain ya zein weka software yake DELL_WIRELESS-5520-VODAFONE-_A07_R216764 huna haja ya kutumia mordem utapata internet moja kwa moja kwa kutumia lapptop
 
Hiyo ni sehem ya kuweka line, lakini kama alivyosema mdau flani hapo juu sio kila dell inayo device ndani, mara nyingi ni kwa customized oders only, ili uwe na uhakina kama kuna device ndani ama la, nenda kwenye device manager kisha angalia sehem ya networks, kama utaona Mobile Broadband MiniCard Modem ipo listed ujue ipo, usipoona ujue hamna kitu, na kama ipo utahitaji drivers kuitumia, ukihitaji namna ya kupata compatible drivers sema nitakuelekeza!
 
Nina similar experience ila mie ni kwenye Samsung Chrome book. Naezatumia line bila kutegemea wifi/cellular network?? Maana kwa nyuma pia nimeona kama kuna sim card slot.
Msaada please!!
 
Back
Top Bottom