Hii sasa too much!!

meddie

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
434
125
Sasa hivi ni habari za bunge/siasa tu....... ooh furani kasema hivi, kafanya hivi, kafanya vile.....lkn mwisho wa siku sioni resolutions zinazofikiwa kwa maslahi ya mtz, wala positive way-out ktk mijadala inayoendelea hasa bungeni!! Bunge limekuwa chanzokikuu cha habari kwa magazeti na kwa bahati mbaya even JF....utakuta inaelezwa furani kasema hivi...then watuwanaanza kuumani kwenye JF eti wanachangila!!

Well it is good lakini we can go step further na kuangalia mambo mengine ambayo yana positive impact ktk kushape jamiii na kuyatangaza, kuya-promote or kuyatukuza. Hisiwe muda wote ni bunge na siasa tu( well inawezekana mimi ni kati ya wale ambao wameishakata tamaa na mtizamo, uelewa, uzalendo na objective za most wanasiasa wa TZ)
So ni vema tukatumia mwanya wa mawasiliano kama huu wa JF kuongelea mambo na experience za kujengana kiuchumi na kijamii ...tukawaacha hao tuliowaamini na kuwapa nchi wao na Mungu wao!
Mfano forum hii nikwa ajili ya issues mabali mbali ..lkn utakuta imejaa issues za siasa na kwenye forum ya siasa ndo unakuta watu kibao!!!
Wenzetu walioendelea wanapenda siasa sawa lakini wana-balance utakuta wanaongea/tangaziana fulani kagundua kitu fulani or furani nai bingwa wa kitu furani, nchi furani kunamaliasili furani or ajira nk nk......kwa hapa kwetu habari kama hizi wala hazionekani kama habari.
We need to change our mind set!
 
Back
Top Bottom