Utaratibu wa mtu kulipa michango mbalimbali kwa Elimu ya sekondari ni nchi nzima au?

Yapo malalamiko mengi ya jinsi usajili wa kulipua unavyofanyika pale wizarani.Kwamfano, kule tanga kuna chuo fulani cha ualimu kisicho na kiwango kimelalamikiwa sana na wananchi lakini mkubwa wa wizara kwakuwa ni kabila moja na mwenye chuo hakijafungwa na mambo yanaendelee, ndo elimu ya bongo hiyo!
Chuo gani hicho?
 
Wakuu,

Jana nilitembelewa na jirani yangu mmoja na akanieleza kuwa watoto wake wawili wamefaulu mtihani wa darasa la saba na wamechaguliwa kujiunga na shule ya sekondari ya Zinga iliyoko wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani. Hii ni moja ya shule zetu za kata.
Kitu kilichonistua na kunishangaza katika maelezo yake ni kuwa, pamoja na mambo mengine kama hela ya mlinzi; uji; kuni; ada; karatasi, kila Mwanafunzi anatakiwa AENDE NA KITI NA MEZA YAKE SIKU YA KUFUNGUA SHULE TAREHE 18/01/2010.
Je huu ni utaratibu wa nchi zima kwa shule zetu za kata au ni kwa shule hii ya ZINGA pekee?

Mvua bado. Hayo ni manyunyu tu.
 
Shule zinajengwa ili kukamilisha ilani ya CCM, kiukweli hizi shule za kata ni majengo yanayoitwa shule na sio shule, kwa ulimwengu wa sasa watu wanajenga shule ambayo haina;
1. Madawati
2. Mahabara
3. Library
4. Office
5. Nyumba za walimu/mwalimu
6. Computer lab
7. Projector
8. Viwanja vya michezo

Watoto wa viongozi wote wanawapeleka St na Academ/international schools au Abroad wanaenda kupata elimu bora wakija uku watakuwa viongozi na washika nafasi nyeti nchini mpaka ukamilifu wa daari.
 
Hii ni aibu kubwa, JK na mawaziri wengi wamesomeshwa na pesa ya walipa kodi wakati wazazi wao hawakuweza kumudu mahitaji yao shuleni, lakini leo hii wamesahau yale ambayo walipa kodi wa Tanzania waliwafanyia.
 
Kwani lazima kila mtoto aende secondary school? The country needs farmers, construction workers, watch men, cooks, carpenters, etc. and all these professions do not need secondary education. Let those who can afford send their children to school and those who can't afford work for those who can.
 
Hali ndio hiyo kwa Tanzania nzima tena hata kwenye Private Schools zenye majina. Nilidhani ni wakati mzuri sasa serikali ikaunda chombo kinachofanana na EWURA/SUMATRA/TCRA kwenye elimu pia. Vinginevyo iipe meno TEA ifanye kazi hiyo.
Kuna ndugu yangu mmoja kampeleka mwanae BAOBAB. Kwenye Invoice yao ya karo upo mchango wa laki moja ya jengo! Yaani mzazi achangie kumjengea mmiliki binafsi.
Nikamshauri akishachangia aombe shares ili naye awe na umiliki wa kiwango fulani. Karo ya BAOBAB mbali na mchango huo ni milioni mbili na nusu (2,500.000/=) kwa mwaka wa kwanza.

Halafu kibaya zaidi unaweza kulipa mapesa yote hayo na bado mtoto akakwambia kwamba hawana Walimu katika mengi ya masomo yao na hivyo muda mwingi hujikalia na kupiga soga tu au kufanya shughuli ambazo hazikuwapeleka huko.
 
Hali ndio hiyo kwa Tanzania nzima tena hata kwenye Private Schools zenye majina. Nilidhani ni wakati mzuri sasa serikali ikaunda chombo kinachofanana na EWURA/SUMATRA/TCRA kwenye elimu pia. Vinginevyo iipe meno TEA ifanye kazi hiyo.
Kuna ndugu yangu mmoja kampeleka mwanae BAOBAB. Kwenye Invoice yao ya karo upo mchango wa laki moja ya jengo! Yaani mzazi achangie kumjengea mmiliki binafsi.
Nikamshauri akishachangia aombe shares ili naye awe na umiliki wa kiwango fulani. Karo ya BAOBAB mbali na mchango huo ni milioni mbili na nusu (2,500.000/=) kwa mwaka wa kwanza.

hapo kwenye bold kaka si afadhali nibaki hapa kwa QUEEN watoto wangu wasome bure,fees hio kwa watoto 3 si balaa hio!na kiwango cha elimu je?au wakitoka hapo ndio kimombo tu??
 
Wakuu,

Jana nilitembelewa na jirani yangu mmoja na akanieleza kuwa watoto wake wawili wamefaulu mtihani wa darasa la saba na wamechaguliwa kujiunga na shule ya sekondari ya Zinga iliyoko wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani. Hii ni moja ya shule zetu za kata.
Kitu kilichonistua na kunishangaza katika maelezo yake ni kuwa, pamoja na mambo mengine kama hela ya mlinzi; uji; kuni; ada; karatasi, kila Mwanafunzi anatakiwa AENDE NA KITI NA MEZA YAKE SIKU YA KUFUNGUA SHULE TAREHE 18/01/2010.
Je huu ni utaratibu wa nchi zima kwa shule zetu za kata au ni kwa shule hii ya ZINGA pekee?

andamaneni!!
 
Wizi mtupu
 
Back
Top Bottom