Hii Sanamu inaheshimiwa sana na Jamii Fulani toka Kabila moja hapa Tanzania

Rural Swagga

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
1,579
1,080
Wapi hii???
250px-Askari_Independence_monument_in_Moshi_Tanzania.jpg
 
moshi round about ya ymca hapo zamani wachaga tulikuwa tukifika tunatupa ndizi nchini na kutoka baruti kwa kuogopa huyo jamaa anaweza kukupiga risasi
siyo wachaga wote wewe sema wachaga wa uru kishumundu.
 
shida sana hii mitu
Una uhakika tuna shida?Karibu kwetu Jamuhuri ya Kidemokrasia ya watu wa Rombo,au tembelea U.K means Uru Kishumundu au nenda ukanda wa gaza (Palestina)Machame au Jews state of Kibosho au marangu U.S.A ndo ujue kama kweli tuna shida.
 
una uhakika tuna shida?karibu kwetu jamuhuri ya kidemokrasia ya watu wa rombo,au tembelea u.k means uru kishumundu au nenda ukanda wa gaza (palestina)machame au jews state of kibosho au marangu u.s.a ndo ujue kama kweli tuna shida.
hahahahaha,,,,mule mule bwana kimichio
 
Una uhakika tuna shida?Karibu kwetu Jamuhuri ya Kidemokrasia ya watu wa Rombo,au tembelea U.K means Uru Kishumundu au nenda ukanda wa gaza (Palestina)Machame au Jews state of Kibosho au marangu U.S.A ndo ujue kama kweli tuna shida.

Aisee we mutu nimekugongea senksi kule.....Haiwezekani hii yuziful posti ikapita hivi hivi. Siku hizi tunanywea bia Ziwa Chala pale huku tukiangalia kwa watani zetu wakamba wanavyohaha na mavumbi........
 
hahahahahaha,Aisee !! Ila mbona mnakusahau old Moshi[Brooklyn] huko kila siku kama sikukuuu
 
Aissssssseeeeeeeee mtani kwanini kumbebesha mwenzio mtoto wkt yupo fitani!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom