Hii picha ya Fernando Torres imekaaje inamaanisha nini

nadhani hata ukiangalia NBA hayo ni mambo utakayo yakuta katika kupongezana..! sio kwamba jamaa anatamani naniii ya mwenzie HAPANA
 
Hiyo kitu ninaiona kila siku hapa office kwangu, wanaume ass petting:frusty:
 
design ya ubwabwa nyie endeleen ofn kupongezana tu kwa style ya kukandana masabur
 
Mbongo anafikra potifu sana sasa hapo cha ajabu nini?
 
Hahahaha... MadameX punguza ukali basi!! tafsida kidogo...sema batokisi petingi......:wave:, ofisini kwenu kuna mambo...ni mtu akifanya tukio gani anafanyiwa hiyo batoksi petingi?
Hiyo kitu ninaiona kila siku hapa office kwangu, wanaume ass petting:frusty:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom