Hii picha ni ya kiongozi gani mkubwa hapa Tanzania?

Kweli watu tunatoka mbali tena tukiwa dhalili wa kusaidiwa lakini Mungu akitukumbuka tunajisahau na kuwa jeuri,tuombe Mungu atusamehe hatujui tutendayo.
Hapa ofisini kwetu kuna kijana aliajiriwa alianza kama intern asubuhi alikuwa anakuja anaanza kazi mnyonge nikawa namuuliza vipi akaniambia akila chakula hapa kazini mchana ndio mpaka kesho yake mchana hapa kazini tena. Ikifika week end ndio anakuwa na mawazo mara dufu atakula wapi na kipato ni kdogo sana.
Tulikuwa tunamfanyia hisani ya pesa ya vitafunio na wakati mwingine tunamuongezea share zetu za chakula lakini baada ya kupata ajira ya kudumu imekuwa tabu tupu.Anatusumbua na kacheo alikopewa na anawasumbua sana intern wenzie wanakuja hapa, huwa namuangalia sipati jibu.
kwani na huyu katika picha nae zamani alikuwa anapewa vitafunwa na wakubwa?alianza zamani kuwa dhaifu.
 
I take this as fluff.

Hiyo floor naiona mara ya pili hapa katika siku mbili, poengine tena katika ukumbi wa mkutano wa UWT Dodoma.

Makes you wonder for those in the know :) Hawajaanza leo.
Yaelekea picha hii ilipigwa studio miaka ya 70 kwani makapeti ya rangi hiyo yalikuwa katika fasheni. Hebu cheki Jaketi la "Ngwabi" na suruali ya "pekos" kimtindo. Wemgi tulizipitia enzi hizo ingawa kwa uzembe tu sasa hatuina picha. Nampongeza JK kama ameweza kutunza kumbukumbu za picha zake hadi sasa tunapoziona. Kwa kweli alipendeza sana.
 
Inaelekea hapa alikuwa mwanajeshi tayari na hilo ndula chini ni lakijeshi kaulambia na zakiraia. Tena inaelekea ndio alikuwa ametoka chuoni monduli anaanza kazi. Kakaa Mguu sawa.
 
561722_462712810440424_423544814_n.jpg

Dhaifu
 
Jamaa alikuwa anafanana na usher raymond kwa mbali,au mzee wa gods must be crazy

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom