Hii picha ni ya kiongozi gani mkubwa hapa Tanzania?

Chenge

JF-Expert Member
Oct 5, 2011
1,073
377
561722_462712810440424_423544814_n.jpg
 
History is a good reflection of our humanity! life profile is a complex circle.........................!
 
Kweli watu tunatoka mbali tena tukiwa dhalili wa kusaidiwa lakini Mungu akitukumbuka tunajisahau na kuwa jeuri,tuombe Mungu atusamehe hatujui tutendayo.
Hapa ofisini kwetu kuna kijana aliajiriwa alianza kama intern asubuhi alikuwa anakuja anaanza kazi mnyonge nikawa namuuliza vipi akaniambia akila chakula hapa kazini mchana ndio mpaka kesho yake mchana hapa kazini tena. Ikifika week end ndio anakuwa na mawazo mara dufu atakula wapi na kipato ni kdogo sana.
Tulikuwa tunamfanyia hisani ya pesa ya vitafunio na wakati mwingine tunamuongezea share zetu za chakula lakini baada ya kupata ajira ya kudumu imekuwa tabu tupu.Anatusumbua na kacheo alikopewa na anawasumbua sana intern wenzie wanakuja hapa, huwa namuangalia sipati jibu.
 
I take this as fluff.

Hiyo floor naiona mara ya pili hapa katika siku mbili, poengine tena katika ukumbi wa mkutano wa UWT Dodoma.

Makes you wonder for those in the know :) Hawajaanza leo.
 
Kitu ambacho JK hajabadilika ni jinsi anavyoiposition mikono yake kwenye pause za picha.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom