Hii picha mmmh

unafiki and stupidity. Unamwona huyo maalim mfupi wa katikati alivyokasirika?
 
Namkataa shetani na kazi zake zote

Sasa cha ajabu nini na hizo ni salamu za kawaida hasa baada ya kumaliza sala ya Idi watu hukumbatiana kuonesha upendo itakuwa hilo la luubusu mkono mbona watu washamba sana humu JF?!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom