hii picha inatufundisha nini

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
37,216
78,162
wakuu hii picha inakufundisha nini
 

Attachments

  • mama na mtoto.jpg
    mama na mtoto.jpg
    75.3 KB · Views: 1,570
Hii picha binfsi inanifundisha kwamba mtoto ni vizuri kumlaza kivulini kwani juani anaweza kupata madhara ya ngozi ukiachilia mbali kwamba hatapata usingizi

Na wakija Mgambo wakiwatimua wafanyabiashara wadogo..watajua kuwa kuna kiumbe huko chini?
 
mama wa huyu mtoto amekosea sana hapo alipomlaza mtoto, hizo mbao zikishuka biashara kwisha!!! ooh god tunusuru na balaa hili!!!
 
hii picha imeniumiza sana tena sana, maisha ni magumu sana kwa watanzania wengi, na huu ni mfano halisi. huyu mama akikaa nyumbani kulea mtoto inakula kwake, kwa hiyo inabidi mtoto akomae na mama yake kwenye biashara. ni hali ya huzuni sana, achilia mbali akina mama wanaolima na watoto wachanga wakisaidiwa kubembelezwa na nyoka. ama kweli bado tuna safari ndefu huu ulimwengu wa tatu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom