Hii picha inafundisha nini?

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
[h=3][/h]

p00rk2r7.jpg

Je huyu jamaa na fuvu wanaongea, analisanifu, analichunguza, analifurahia, analistikitia au? Je wanaelewana? Picha kwa hisani ya BBC.
 
jamaa anajifikiria nafsi yake one day he will be the same, like you and me,it doesnt matter whether he is a he or she
 
Anthropologist huyo. Kama Dr. Leakey, anafikilia atudanganye limegunduliwa mabwepande, lilikuwepo toka miaka 4000 Iliyopita....... i hate history, full of lies.
 
Back
Top Bottom