HII PICHA IGUNGA: University of DSM Alumni CUF, CCM, CHADEMA are these guys our future Presidents?

hakuna mtu wa kuwa raishapo, labda zitto, hao wengine cheche tu!!!
301685_272551546099599_100000342668655_964495_1783346900_n.jpg

Julius Mtatiro - CAF attended UDSM

Mwingulu - CCM attended UDSM

ZITTO Kabwe - CHADEMA attended UDSM

Mwingulu & Kabwe did attend UDSM together ...

Masters - Mwingulu - UDSM

Masters- Kabwe - Germany

* HAWA NI MARAIS WETU WA BAADAYE? ARE THEY THE BEST OF OUR PEACE FOR THE FUTURE IN OUR BELOVED COUNTRY?
 
kwa hawa hapana, hakuna rais hapo labda tumtarajie mwingine! wanayo sifa moja inayofanana kwa wote watatu ni kwamba wanapenda sana umaarufu wa haraka haraka, na mara nyingi huwa wanakurupuka na hoja ambazo hawajazifanyia upembuzi wa kutosha. Urais ni nafasi ya juu kabisa katika nchi hii, hivyo inahitaji mtu makini mwenye utulivu wa akili, hawa jamaa wanafaa zaidi kwenye nafasi ya kusimamiwa!
Upo sahihi lakini maamuzi mengi ukiwa rais yanatolewa na watu wengine ila wewe unakuwa kama political figure ya kupitishia maamuzi, nakutolea mfano tu kuwa TISS na vyombo vingine vya usalama vina play maamuzi mengi kuliko inavyofikiri. Hivyo rais ni mtu anayetakiwa kuwa smart katika maamuzi yanayoafikiwa na serikali.
 
Huyu Mwigulu Mchemba simfahamu vizuri so sitomzungumzia.

Ila kwa maoni yangu, Zitto na Mtatiro wote wanatokea kwenye siasa za kiuanaharakati za vyuo. Activist politics.

Mara nyingi great activists, do not make great heads of state (kwa maana ya Presidents or executive prime ministers),
ingawa ni key ingeredients kwenye kuelekea serikali zinazowajibika kwa watu wake.
 
kwa hawa hapana, hakuna rais hapo labda tumtarajie mwingine! wanayo sifa moja inayofanana kwa wote watatu ni kwamba wanapenda sana umaarufu wa haraka haraka, na mara nyingi huwa wanakurupuka na hoja ambazo hawajazifanyia upembuzi wa kutosha. Urais ni nafasi ya juu kabisa katika nchi hii, hivyo inahitaji mtu makini mwenye utulivu wa akili, hawa jamaa wanafaa zaidi kwenye nafasi ya kusimamiwa!

Hivi rais aliepo madarakani sasa hivi ni mtu makini na mwenye utulivu wa akili? Nauliza tu jamani nipate kufahamu. Akina Mura25 na wenzio msinimeze!
 
Mwigulu ni mtu wa kujipendekeza kwa wakubwa na wenye cheo, hana msimamo wake binafsi na ni mtu wa ndio mzee. HAWEZI kabisa kugombea nafasi kubwa kama hiyo. Ndio maana hata CCM wamempa kazi ya kuongoza kampeni Igunga kwa vile wamejua hana resistance na atatekeleza yale ambayo wenye chama wanasema. Hii inathibitishwa na kauli ya Mukama kwamba kijana Mwigulu anatabia nzuri sana.....
 
Tunapoelekea mtu ataleta thread kuwa kabila gani linabidi liongoze,rangi,dini,amesoma wapi,familia anakotoka etc Lets pay heed to what is urgent to us najua sisi ambao tumeishia form two atunaweze ongoza.
 
Upo sahihi lakini maamuzi mengi ukiwa rais yanatolewa na watu wengine ila wewe unakuwa kama political figure ya kupitishia maamuzi, nakutolea mfano tu kuwa TISS na vyombo vingine vya usalama vina play maamuzi mengi kuliko inavyofikiri. Hivyo rais ni mtu anayetakiwa kuwa smart katika maamuzi yanayoafikiwa na serikali.

Mkuu usisahau kwamba tumekuwa na marais watatu kabla ya kikwete na hao watendaji pamoja na vyombo unavyovitaja vimekuwepo muda wote lakini ni rais kikwete anayeonekana kupwaya sana kuliko watangulizi wake.

Kwahiyo utaona kwamba ubora wa raisi si kuletewa makabrasha na kusaini bali ni kufahamu anasaini kitu gani na kina manufaa gani kwa wananchi wake. Kama wasaidizi wake wanamuingiza chaka naye anakubali huo ni udhaifu wake mwenyewe hana kisingizio.

Kila siku tunaambiwa kikwete kadanganywa na hatuoni mtu kachukuliwa hatua na hivyo kuendelea kumdanganya tena sasa hadi hapo huoni kwamba rasi ndiye dhaifu?
 
As we all know the University of Dar es salaam has Educated a quality of Cream of African Leadership

So, it might happen the three Gentlemen on the picture with their VIBE, MODE and ABILITIES years to come they can rule our beloved nation
Mkuu una statistics kuwa chuo hiki kadri miaka inavyoyoyoma kinaporomoka kwa kiwango cha elimu barani afrika, sifa ya kiongozi si lazima usome udsm kama ni hivyo ni viongozi wangapi wamesoma udsm na ni mafisadi wa kutupwa au nayo ni sifa mojawapo ya kusoma udsm
 
Back
Top Bottom