Kottler Masoko
Senior Member
- May 28, 2010
- 193
- 28
Habarini za shughuli washikadau wa Jf!
Ndugu yenu nimepata International wadau wanataka kupatner na local NGO ktk kufanya AIDS awareness and prevention campaigns,sasa mimi nimeonelea niwape dili wavuja jasho wenzangu(small local NGO)badala ya kupelekea mafisadi.
Swali langu ni kwa kufanikisha lengo la hawa wadau ni lazima wapitie TACAIDS kwanza au naweza kuwalengesha directly kwa hizi taasisi kama SHDEFA,AYA,ISHI na nyinginezo?
Natanguliza shukrani kwa wachangiaji wote.